Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,725
- 13,747
Wakuu
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitausahau kabisa katika maisha yangu,ni mwaka ambao nilikutana na binti wa kidato cha tatu ambaye niliingia nae katika mahusiano ya moja kwa moja,
Lakini sikutaka kumkatisha masomo yake hivyo nilimwambia nitamsubiri amalize shule ndipo nitamuoa,kama mnavyojua,mwelekeo wa matokeo ya mwanafunzi huonekana angali bado kidato cha kwanza,hivyo kupitia mitihani yake ya 4m1,4m2 na mwaka huo 43 hayakuridhisha na uwezekano wa kufeli ulikuwa mkubwa sana.
Niliwaambia hadi wazazi wake nia ya kutaka kumuoa,nao walikubali ila sharti amalize shule,baada ya kumaliza shule binti alipata dvsn4 ya 29, na binti akachange akasema yeye anaenda chuo haolewi,
Hata mazazi wake wakamfuata binti yao kuwa anaenda shule,
Nikampotezea na nikaoa kwingine na mke wangu ana mtoto mmoja sasa,yule binti amekaa nyumbani 2024 yote na hii 2025 bila hata kumuona anaenda shule,
Na sasa amekuja kwa shemeji yake akiwa mjamzito na ujauzito huo haijulikani kampatia nani kutokana na rundo la wanaume.
MUNGU AMEJIBU.