madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
mwamba bado ana kumbu kumbu ya ile siku ya kuachiwa mtoto bila maagano sasa hasira zilikua juuYupo sawa ila angemruhusu huyo dada apige japo picha na mwanae
likikufika huna budi kufunga mkandaJamaa nimempa salute, wanaume na sisi tunaweza.
Huyo mwanamke acha atangetange tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jamaa nimempa salute, wanaume na sisi tunaweza.
Huyo mwanamke acha atangetange tu
Ktk hiyo avatar, wewe ndio yupi hapo?Wanawake wengine hawaoni hata aibu kukimbia mtoto wake aliyemzaa kwa uchungu!? Aiseee pongezi kwa huyo mwanaume maana kutunza mtoto si kitu kirahisi!!!
Ningekua ni yeye, hakyamungu huyo mwanamke angejuta kurudisha 'matendego' yake kuja kumuona mtoto!!!!
Vijana wanaita selfieYupo sawa ila angemruhusu huyo dada apige japo picha na mwanae
Nimecheka sana[emoji2]Yupo sawa ila angemruhusu huyo dada apige japo picha na mwanae
umeachwa kwenu au kijiweni kama alivyofanya huyumbona nyie mnaacha watoto wenu mkija kuomba msamaha tunawasamehe?
mimba umebwagiwa maskaniWanaume wengi ni wanafiki sana! Hapa wanaona kumnyima mama mtoto ni sawa maana kamtelekeza mtoto. Ila wao hutelekeza mimba na bado hutaka kumuona mtoto kirahisi
Wanawake wengine hawaoni hata aibu kukimbia mtoto wake aliyemzaa kwa uchungu!? Aiseee pongezi kwa huyo mwanaume maana kutunza mtoto si kitu kirahisi!!!
Ningekua ni yeye, hakyamungu huyo mwanamke angejuta kurudisha 'matendego' yake kuja kumuona mtoto!!!!