Aliitwa Na Bunge Akakataa, Aliitwa Mahakamani Kesi ya Mbowe Akakataa, Ameitwa na Tume Amekataa

alvinroley

Member
Sep 30, 2016
71
251
The Prince ni mbabe kama anavyojiita 'Mbabe wa Vita'. Ukimwita haji na humfanyi lolote. Bunge lilisanda, mahakama ikasanda, kamati imesanda na imeenda na mtu. Huyu ndiye 'The untouchable Prince'. Mguse upotee
 
Back
Top Bottom