Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Nimeshukia zangu barabara ya kibosho toka Arusha (wale wa kilimanjaro na Arusha wanalifahamu eneo) natafuta usafiri wa kwenda kindi kwa mama, namwona baba mmoja akinikimbilia."binti samahani" ananiambia huku akihema.Namsubiri na kumtazama usoni na nabaini nia yake."binti, naomba namba yako" Hasira zinanibana kwa kuitwa 'binti' lakini sizioneshi.Anatoa simu yake aandike namba. Naanza, saba. kisha nanyamaza. "Inaanza na saba sio sifuri?"Anapayuka. "Namba yangu ni saba"namsisitizia.Haandiki, anashangaa na kutezama huku na huko."Mtandao gani huo?"Sauti inamtoka.Namwelewesha kuwa hiyo ni namba ya saizi ya kiatu nachovaa si mtandao.Mbaba anaguna na kuondoka akilalamika
Yeye alihitaji namba nikampa sasa shida nini?Wanaume bana!Mnapaparikia mtu kavaa pete ya ndoa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Angekupa lift hadi kindi nadhani ungempatia tu namba ya simu
Mawazo ya kijinga ya mwaka 2018Unaongea kwa unyonge sana,
Inaonekana jamaa ulimpa namba na keshakutafuna,
Pole lakini kutafunwa ndo haki yenu ya msingi
Yes perhaps. Scratch my back I scratch yours!Angekupa lift hadi kindi nadhani ungempatia tu namba ya simu
Hujui kuna pete ya ndoa? By the way nilifunga ndoa 16 december 2017Pete ya ndoa??
Sema yako yamezidi zaidiMawazo ya kijinga ya mwaka 2018
Alichobugi ni kwamba hajajua kama mwenzake ndoa ndiyo unaianza utamu, mwaka mbele ukimuona utamkimbilia.Hujui kuna pete ya ndoa? By the way nilifunga ndoa 16 december 2017
Wanawake wa Kindi wengi wenu mnakiwaga na matatizo ya aina hiyo, halafu wewe unajiona mjanja unakuja hadi kuchapisha mtandaoni.Nimeshukia zangu barabara ya kibosho toka Arusha (wale wa kilimanjaro na Arusha wanalifahamu eneo) natafuta usafiri wa kwenda kindi kwa mama, namwona baba mmoja akinikimbilia."binti samahani" ananiambia huku akihema.Namsubiri na kumtazama usoni na nabaini nia yake."binti, naomba namba yako" Hasira zinanibana kwa kuitwa 'binti' lakini sizioneshi.Anatoa simu yake aandike namba. Naanza, saba. kisha nanyamaza. "Inaanza na saba sio sifuri?"Anapayuka. "Namba yangu ni saba"namsisitizia.Haandiki, anashangaa na kutezama huku na huko."Mtandao gani huo?"Sauti inamtoka.Namwelewesha kuwa hiyo ni namba ya saizi ya kiatu nachovaa si mtandao.Mbaba anaguna na kuondoka akilalamika
Yeye alihitaji namba nikampa sasa shida nini?Wanaume bana!Mnapaparikia mtu kavaa pete ya ndoa?
Wanawake wa Kindi wengi wenu mnakuwaga na matatizo ya aina hiyo, halafu wewe unajiona mjanja unakuja hadi kuchapisha mtandaoni.Nimeshukia zangu barabara ya kibosho toka Arusha (wale wa kilimanjaro na Arusha wanalifahamu eneo) natafuta usafiri wa kwenda kindi kwa mama, namwona baba mmoja akinikimbilia."binti samahani" ananiambia huku akihema.Namsubiri na kumtazama usoni na nabaini nia yake."binti, naomba namba yako" Hasira zinanibana kwa kuitwa 'binti' lakini sizioneshi.Anatoa simu yake aandike namba. Naanza, saba. kisha nanyamaza. "Inaanza na saba sio sifuri?"Anapayuka. "Namba yangu ni saba"namsisitizia.Haandiki, anashangaa na kutezama huku na huko."Mtandao gani huo?"Sauti inamtoka.Namwelewesha kuwa hiyo ni namba ya saizi ya kiatu nachovaa si mtandao.Mbaba anaguna na kuondoka akilalamika
Yeye alihitaji namba nikampa sasa shida nini?Wanaume bana!Mnapaparikia mtu kavaa pete ya ndoa?
[emoji40] [emoji23]Unaongea kwa unyonge sana,
Inaonekana jamaa ulimpa namba na keshakutafuna,
Pole lakini kutafunwa ndo haki yenu ya msingi