Aliens & extra-terra-astral [extraterrestrials]

Mkuu kuna mda unafika inabidi hiz hadithi za kusadikika za vitabu ya dini na nyingne uzichukulie poa tu .

Mimi saivi naamni tu ugali ,tena mpaka ufike mezani na nianze kula .

Kuna mda mpka mimi siamini kama nipo.
 
sasa mkuu unaamini haupo uko wapi??
 
Ahsante mkuu kwa uzi wako maana leo ndio nimepata uthibitisho kwanini alien wanaishi kwenye DUMBS.
 
Something tells me ndo hao hao the so called malaika walivyo anguka maana walianguka kwa mafungu
Acha watupe technology tujiandae na huyo anaekuja walio msaliti
Afu mbele wanaitwa aliens, bongo tunawaita vibwengo
Mbele wanaita UFOโ€™s, UAPโ€™s
, bongo bado tupo kwny ungo na vyote vinaruka nightmare
 
Kwa nini hao Aliens na Extraterrestrials hawakutani na watu weusi wanaoishi Africa nyeusi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ