Kwa mara ya kwanza kinachosemekana ni ALIEN ameonyeahwa kwa kamati ya bunge huko nchini Mexico. Am so excited, what a time, hapa bado mu USA aka baba lao aje na yeye kusema vyakee.

Hawana mzima hii wanadau ni archeological finding, miaka 1000 iliyopita ndio vilikuwa hai, vjmekutwa mapango ya peru mwaka 2017. Wamecheki DNA na kuona kuna utafauti mkubwa na ya binadamu