ALIEFANYA APLLCATION TIA

ALIEFANYA APLLCATION TIA

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Aliefanikiwa kufanya application kwa ngaz ya bachelor naomba kujua km alifanya bila shida,Mimi inanisumbua system yao nashindwa ht kulog in ,nikijaribu kujisajiri naambiwa nimeshakuwa registered ,lkn kulog in naambiwa forgoten password or username akt nipo sahh
 
Nasoma hapo tia labda Naweza kukusaidia
 
Kwenye Username usiweke jina,weka Email uliyoitumia wakati unaCreate account
Pia
Inawezekana ni kweli,yaani email au password unayoingiza si sawa(Mf.Herufi moja imeMiss)
na zile ulizotumia wakati unaRegister

Haiwezekani kuRegister zaid ya mara1 kwa kutumia one Index number
 
Duu!! SAA kama email haikuwa valid means ingekataa kufungua hyo account ya application
 
na inashu ya kuonrsha km umekuw regestered
labda last academic year ulipat chuo na ukawa umesoma kwa muda kazaa labda kutokan na matatizo ya hap na pale uliacha chuo bila taharita kutuma chuon kwako

uwa inasababisha ilo tatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom