Mkuu kuchapia sio dhambi....tunaweza kumshangaa haijui verb rahisi kumbe mwenzetu alisomaga ujerumani miaka yote ndo kaingia bongo ana mwaka tu ndo kaamua kujifunza kiingereza

.
Afu nilisahau kama nna post huku but thanks mmenikumbusha.... Mbali sana
enzi hizo nimezibuliwa na mwalimu shule ya msingi niliposema
cut > cutted
thanks sana