Alidhani anapigwa picha.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Mwosha maiti akiwa mochwari akashangaa alipofungua nyuso za maiti 3 na kuona zinatabasamu.
Gafla akapiga simu polisi.
Mwosha maiti:afande ebu njoo angalia hizi maiti 3 mbona zimetabasamu?
Polisi:Nipo njiani nakuja.

polisi alipofika akazicheki na akawakumbuka.
Mwoshaji:sasa kwanini walitabasamu.
Polisi:wakwanza alikuwa anafanya tendo la ndoa na housegirl wake huku akicheka,mara mke wako akamvizia na kumpiga
kwa rungu kisogoni.
Mwoshaji: Je na huyu wa pili?
Polisi:Huyo alijishindia tuzo akamaliza hela zote kwenye pombe,siku moja wakati yuko baa huku anaenjoy kinywaji kumbe
walimwekea simu.
Mwoshaji:Je huyu wa 3 nini kilimsibu?
Polisi:Aah huyo alikuwa anatembea kwenye mvua mara radi ikapiga kwa mwanga mkali ye akadhani anapigwa picha.
 
Inamaana huyo police ana recod za wafu wote mochwari?
 
Aisay hio ya kupigwa picture na radi imeniwacha hoi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…