Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?