GE2025 Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi,

Mimi mwanabodi mwenzenu, Paskali ni Mzee wa Masauti humu jf, nikisikia sauti, nasema nilichosikia.

Leo nilikuwa nasoma bandiko hili humu, Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu. huku nikitafakari alichokifanya Balozi Polepole, nikijiuliza jinsi alivyo bold!, na kujiuliza kama ni maovu na udhalimu, mbona yalikuwepo toka awamu iliyopita na Polepole alikuwepo na yeye alikuwa ni mmoja wao, mbona hakukemea?!, na badala yake sio tuu alinyamaza kimya, bali alifikia kiwango cha kuturingishia Vieite!, hivyo najiuliza "Why now?!", nini kimebadilika?, mengi aliyoyapigania ni makubwa na mabaya kuliko hata yanayotokea sasa!, kwa nini awamu ile alinyamaza, halafu sasa ndio kaibuka na kuamua kujitoa na kusema?

Mimi ni mwandishi wa makala, magazeti mawili ya daily, kila wiki, baadatuu ya Polepole kuandika barua na kujiuzulu, nilifanya uchambuzi wa sababu zake za kujiuzulu na kuandikia makala gazeti la kwanza, makala ikakataliwa, ikapigwa chini!. Polepole alipozungumza juzi Alhamisi, nikaandika makala gazeti la pili, nako makala ikapigwa chini!. Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 newsroom, akili ya kiutu uzima inaniambia, sii bure!, kuna nguvu kubwa over and above the media horizons, inazuia habari za Polepole zisiandikwe!. Hii maana yake, huyu jamaa atashughulikiwa.

Wakati nikiendelea kutafakari alipata wapi ujasiri huu wa kujiuzulu na kuongea vile alivyoongea, wakati yeye sio tuu ni mjuzi, bali ni sehemu ya the status quo?!.

Ndipo nikaisikia ile sauti, the voices from within, kuwa aliyejiuzulu ana huyu anayezungumza, sio yeye Polepole, bali Polepole yule, alitokewa na Mwanga, kama ule uliomtokea Saulo kwenye njia ya kwenda Jericho, Saulo akawa transformed into Paulo!. Hivyo Polepole ametokewa na Mwanga, akajazwa na nguvu za upako, zikam transform kutoka Polepole yule, na kuwa Polepole huyu, hivyo kumbe sio yeye Polepole aliyeamua kufanya alichokifanya, bali ni YEYE aliyenyuma yake!.

Sauti hiyo ikanieleza, kuna kitu Polepole anatakiwa kufanya. Kwa sasa Polepole, japo amejiudhuru nafasi yake serikalini, yeye bado ni mwanachama mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, hivyo yuko mguu ndani mguu nje!. Anatakiwa kutoka jumla na kusimama pembeni kando mazima, anatakiwa kutazama mbele na asigueke nyuma, kama Luthu alipotoka Sodoma na Gomora.

Balozi Polepole anatakiwa atazame mbele , asigeuke nyuma akageuka jiwe la chumvi kama mke wa Luthu!. Hapo CCM alipo ni Sodoma na Gomora, anatakiwa kuondoka haraka na asigeuke nyuma.

Ukimtaa shetani, na mambo yake yote unatakiwa kuyakataa, huwezi kumkataa shetani na ukaendelea kuishi ushetanini!. Kwa Polepole CCM sio salama tena kwake, aachane nayo, atafute mahala salama, ndipo aendeleze mapambano.

Kama haya yaliyesemwa na sauti hii, ni kweli ni YEYE, then kwa bandiko hilo, nawashauri wale waliopanga kumshughulikia, waachane kabisa na mpango huo!, wasimguse kabisa Polepole, na wamwachie aliyemtuma ndie ahangaike nae!, yaani just leave him alone!.

Hii maana yake, aliye nyuma ya Polepole ni YEYE Mwenyewe!, kuna kitu YEYE amepanga kukitenda kuhusu Tanzania, kupitia kwa Polepole!, hivyo nashauri Polepole aasiguswe!, akiguswa, YEYE Mwenyewe ataingilia kati!.

Mjumbe hauwawi!.

Jumapili Njema!.

Paskali.
Rejea za Mleta mada kumhusu Polepole

  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

  4. View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
  5. Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
  6. GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
  7. GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
  8. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
  9. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
  10. GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
  11. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
 
Wanabodi,

Wanabodi, mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee wa Masauti, nilikuwa nasoma bandiko hili humu, huku nikitafakari alichokifanya Polepole, nikijiuliza jinsi alivyo bold!, na kujiuliza kama ni maovu na udhalimu, mbona yalikuwepo toka awamu iliyopita na Polepole alikuwepo na alinyamaza?, Why now?, nini kimebadilika?, mengi aliyoyapigania ni makubwa na mabaya kuliko hata yanayotokea sasa!, kwa nini awamu ile alinyamaza, halafu sasa ndio kaibuka na kuamua kujitoa na kusema?

Mimi ni mwandishi wa makala, magazeti mawili ya daily, kila wiki, baadatuu ya Polepole kuandika barua na kujiuzulu, nilifanya uchambuzi wa sababu zake za kujiuzulu na kuandikia makala gazeti la kwanza, makala ikakataliwa, ikapigwa chini!. Polepole alipozungumza juzi Alhamisi, nikaandika makala gazeti la pili, nako makala ikapigwa chini!. Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 newsroom, akili ya kiutu uzima inaniambia, sii bure!, kuna nguvu kubwa over and above the media horizons, inazuia habari za Polepole zisiandikwe!. Hii maana yake, huyu jamaa atashughulikiwa.

Wakati nikiendelea kutafakari alipata wapi ujasiri huu wa kujiuzulu na kuongea vile alivyoongea, wakati yeye sio tuu ni mjuzi, bali ni sehemu ya the status quo?!.

Ndipo nikaisikia ile sauti, the voices from within, kuwa aliyejiuzulu ana huyu anayezungumza, sio yeye Polepole, bali Polepole yule, alitokewa na Mwanga, kama ule uliomtokea Saulo kwenye njia ya kwenda Jericho, Saulo akawa transformed into Paulo!. Hivyo Polepole ametokewa na Mwanga, akajazwa na nguvu za upako, zikam transform kutoka Polepole yule, na kuwa Polepole huyu, hivyo kumbe sio yeye Polepole aliyeamua kufanya alichokifanya, bali ni YEYE aliyenyuma yake!.

Sauti hiyo ikanieleza, kuna kitu Polepole anatakiwa kufanya. Kwa sasa Polepole, japo amejiudhuru nafasi yake serikalini, yeye bado ni mwanachama mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, hivyo yuko mguu ndani mguu nje!. Anatakiwa kutoka jumla na kusimama pembeni kando mazima, anatakiwa kutazama mbele na asigueke nyuma, kama Luthu alipotoka Sodoma na Gomora, Polepole anatakiwa atazame mbele , asigeuke nyuma akageuka jiwe la chumvi kama mke wa Luthu!.

Kama haya yaliyesemwa na sauti hii, ni kweli ni YEYE, then kwa bandiko hilo, nawashauri wale waliopanga kumshughulikia, waachane kabisa na mpango huo!, wasimguse kabisa Polepole, na wamwachie aliyemtuma ndie ahangaike nae!, yaani just leave him alone!.

Hii maana yake, aliye nyuma ya Polepole ni YEYE Mwenyewe!, kuna kitu YEYE amepanga kukitenda kuhusu Tanzania, kupitia kwa Polepole!, hivyo nashauri Polepole aasiguswe!, akiguswa, YEYE Mwenyewe ataingilia kati!.

Mjumbe hauwawi!.

Jumapili Njema!.

Paskali.
If they ask me, who are you ? What should i tell them ?

He replied saying, "Tell them I am who I am."
 
Duh!

Haya leo umetutisha zaidi comrade.

Lakini hoja ya kukaa nje maana yake atoke Sisiemu au aondoke Bongo?

Maana kwa madai yake, yeye hana kosa bali anasaidia kuonesha njia mahali ambapo wengine wamepata kigugumizi kufanya hivyo.

Ujumbe wake ni mzito sana na kweli aliuzungumza kwa ufundi wote wa lugha stahiki, ujasiri, diplomasia, uzalendo, upendo na unyenyekevu mwingi.

^Ni mtu mmoja tu, mmoja pekee mwenye uthubutu katikati ya umma wa watu lukuki, ndiye anahitajika ili kuwasha cheche za moto wa mabadiliko katika jamii.^ ~Karl Marx
 
Wanabodi,

Wanabodi, mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee wa Masauti, nilikuwa nasoma bandiko hili humu, Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu. huku nikitafakari alichokifanya Polepole, nikijiuliza jinsi alivyo bold!, na kujiuliza kama ni maovu na udhalimu, mbona yalikuwepo toka awamu iliyopita na Polepole alikuwepo na alinyamaza?, Why now?, nini kimebadilika?, mengi aliyoyapigania ni makubwa na mabaya kuliko hata yanayotokea sasa!, kwa nini awamu ile alinyamaza, halafu sasa ndio kaibuka na kuamua kujitoa na kusema?

Mimi ni mwandishi wa makala, magazeti mawili ya daily, kila wiki, baadatuu ya Polepole kuandika barua na kujiuzulu, nilifanya uchambuzi wa sababu zake za kujiuzulu na kuandikia makala gazeti la kwanza, makala ikakataliwa, ikapigwa chini!. Polepole alipozungumza juzi Alhamisi, nikaandika makala gazeti la pili, nako makala ikapigwa chini!. Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 newsroom, akili ya kiutu uzima inaniambia, sii bure!, kuna nguvu kubwa over and above the media horizons, inazuia habari za Polepole zisiandikwe!. Hii maana yake, huyu jamaa atashughulikiwa.

Wakati nikiendelea kutafakari alipata wapi ujasiri huu wa kujiuzulu na kuongea vile alivyoongea, wakati yeye sio tuu ni mjuzi, bali ni sehemu ya the status quo?!.

Ndipo nikaisikia ile sauti, the voices from within, kuwa aliyejiuzulu ana huyu anayezungumza, sio yeye Polepole, bali Polepole yule, alitokewa na Mwanga, kama ule uliomtokea Saulo kwenye njia ya kwenda Jericho, Saulo akawa transformed into Paulo!. Hivyo Polepole ametokewa na Mwanga, akajazwa na nguvu za upako, zikam transform kutoka Polepole yule, na kuwa Polepole huyu, hivyo kumbe sio yeye Polepole aliyeamua kufanya alichokifanya, bali ni YEYE aliyenyuma yake!.

Sauti hiyo ikanieleza, kuna kitu Polepole anatakiwa kufanya. Kwa sasa Polepole, japo amejiudhuru nafasi yake serikalini, yeye bado ni mwanachama mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, hivyo yuko mguu ndani mguu nje!. Anatakiwa kutoka jumla na kusimama pembeni kando mazima, anatakiwa kutazama mbele na asigueke nyuma, kama Luthu alipotoka Sodoma na Gomora, Polepole anatakiwa atazame mbele , asigeuke nyuma akageuka jiwe la chumvi kama mke wa Luthu!.

Kama haya yaliyesemwa na sauti hii, ni kweli ni YEYE, then kwa bandiko hilo, nawashauri wale waliopanga kumshughulikia, waachane kabisa na mpango huo!, wasimguse kabisa Polepole, na wamwachie aliyemtuma ndie ahangaike nae!, yaani just leave him alone!.

Hii maana yake, aliye nyuma ya Polepole ni YEYE Mwenyewe!, kuna kitu YEYE amepanga kukitenda kuhusu Tanzania, kupitia kwa Polepole!, hivyo nashauri Polepole aasiguswe!, akiguswa, YEYE Mwenyewe ataingilia kati!.

Mjumbe hauwawi!.

Jumapili Njema!.

Paskali.
Rejea za Mleta mada kumhusu Polepole
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

YEYE Mwenyewe inamaanisha ni number 1. Lakini kwa jinsi picha ilivyo hailekei kihivyo. Badala ya kutumia YEYE mwenyewe ilitakiwa utumie maneno mengine kwa kuwa hsiwezekani number 1 akajifanyia huo mpango yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom