Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Kitendo cha kumnyanyapaa Comedian Pierre mbele ya hadhara kuwa ni mtu wa hovyo wakati anajua hawezi kumjibu kimeharibu kabisa shughuli ya Joketi aliyoindaa kwa upendo wake kwa watoto wa kike.
Pierre kaamua kuwa Comedian kupitia pombe na sasa maisha yake yamebadilika kwa kipato kwa uigizaji huo.
Sasa kwa vile yeye hajinyenyekezi kwa Makonda ndio tiketi ya Makonda kumshambulia mbele za watu?
Kwako Makonda, tunajua wewe pia ni Ziro lakini umepata bahati kufika hapo ulipo kwa sababu uzijuazo wewe mwenyewe. Huna haki ya kumwita mtu wa hovyo eti kwa vile anaigiza unywaji wakati wewe na kile kikamati chako uchwara cha kula fedha za Stars ulitangaza nusu bei, kwa nini usi tengeneze kuwa masoko yata uza nusu bei unga na maharage bali ukasema nusu bei pombe?
Umeingilia sherehe ya Kisarawe na kuichafua ukiambatana na watu wako wasanii wa madawa ya kulevya na umalaya ambao kwako sio wa hovyo bali muigizaji wa pombe ndio wa hovyo.
Umedhibitisha kabisa wewe ni ZERO na unapaswa kutokomezwa
Cc Chabruma

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Mbona yeye mwenyewe wa hovyo? Yeye ni kiongozi wa kundi lililowezesha upuuzi-puuzi na wapuuzi kuwa taswira ya mafanikio. Asijitoe ufahamu, punguani waheed!
 
Wa hovyo ni ninyi mnaomkuza Pierre. Na makonda kawakemea watu wa hovyo kama ninyi. Tena watoto. Hakuna mtu mwenye age ya 40 above na ana akili timamu na kazi za kufanya, akakaa kukomaa kumfanya pierre atrend, zaid ya vitoto vya form 4 mpk chuo na tecno zao
Wakiwepo wajinga kama soud brown ambao taifa hili kimezalisha
Dumelang
 
Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini

Sent from my iPhone using JamiiForums
Uliwahi kumkemea alipovamia clouds???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
Muone daktari wa magonjwa ya akili!

Sasa kwani akiwa maarufu sababu ya pombe wewe inakuhusu nini au unapungukiwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are Wema, Diamond, Rayvanny, Jokate good examples?

Acheni wivu wa kike. Hivi si huyo huyo Bashite alisema watu wanywe nusu bei....wanaokunywa ni akina nani kama sio walevi? Alitarajia mtu nisiyekunywa pombe kama mimi nikalewe?

Bashite ajiangalie sana. Ana roho mbaya kama babake Jiwe.

Kila sector ina watu wake. Na pierre konki faya....mama nakufaaa ni wa sector ya wanywaji. Aacheni wivu wa kike.
Bashite hana busara. Sasa alitaka yeye ndio awe brand ambassador?

Sent using my Nokia Torch
Wote hao sio wa kuglorify

Kuhusu wivu wa kike...am proud kuambiwa hivyo, I love wivu wa my mom and my daughters, they are fighters
 
Back
Top Bottom