Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,452
- 34,004
- Thread starter
- #121
Ngarambi,Nakusifu umeeleza vzr hebu jitahidi ufike na kibata kilwa pamoja na nandete na mwishowe ufike hadi ngarambi katika kitongoji cha lihenga hapo ndipo yule mtaalam kinjeketile ngwale alipopata maji ya dawa ya vita ya majimaji.ambayo yalipelekwa huko kwa wamatumbi maeneo ya nandete kibata na kwingineko.
Sihitaji mimi kupitia upya historia ya Maji Maji.
Rafiki yangu James Giblin amefanya utafiti na kaandika kitabu: Lifting The Fog of War.
Nakushauri ukisome kitabu hiki.
Huyo Prof. Giblin hapo chini tuko darasani Chuo Kikuu Cha Iowa: