Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
Punguza speed binti ww bado mgeni ohooooo!!!We ni miongoni mwa watu wavivu kusoma... Laa unasoma lakin huelew
Nakurekebisha wimbo wa nagharamia na kajiandae sio wimbo wa kushirikishwa ni wa kushirikiana....inaonesha we ni mjuzi wa kuchambua lakini vitu vidogo kama hivi hauvijui...Pole sana.
hiyo thread mbona ipo humu jf tangu siku nyng tu, we umecopy na kuedit jina lingne, mwishoni kulikuwa na website iko wap? mods peleken hii thread kwenye original yakeYah copy n paste, ila umekua mvivu wa akili kwa kutosoma mwisho mwandishi ni nani,