Wamunzengo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 810 Reaction score 321 Jan 2, 2017 #21 ha ha haaaa.! duh.! hizi post za zamani zinanipa raha sio siri. yaani uongo unathibitika kabisa dhahiri kuwa ulikuwa uongo.
ha ha haaaa.! duh.! hizi post za zamani zinanipa raha sio siri. yaani uongo unathibitika kabisa dhahiri kuwa ulikuwa uongo.
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 Jan 2, 2017 #22 mzaramo said: Mbona povu tena?! Kwa hiyo hakuwa anaosha vyombo Kwa Studio Kwa bob Junior?! Click to expand... Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior?
mzaramo said: Mbona povu tena?! Kwa hiyo hakuwa anaosha vyombo Kwa Studio Kwa bob Junior?! Click to expand... Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior?
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,194 Jan 2, 2017 #23 screpa said: Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior? Click to expand... We kweli uelewa wako upo chini. Kwani ukisikia kampuni au ofisi unadhani haiwezi kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja?! Ali alisema kuwa yeye ndio alitoa go ahead kazi ifanyike ushawahi kusikia Bob Junior akikanusha hiyo kitu?! Ujiulizi kwanini hajawahi kukanusha?!
screpa said: Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior? Click to expand... We kweli uelewa wako upo chini. Kwani ukisikia kampuni au ofisi unadhani haiwezi kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja?! Ali alisema kuwa yeye ndio alitoa go ahead kazi ifanyike ushawahi kusikia Bob Junior akikanusha hiyo kitu?! Ujiulizi kwanini hajawahi kukanusha?!
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,194 Jan 2, 2017 #24 chige said: Unajua maana ya povu? Au angalau maana ya msemo wa "povu?" Click to expand... hayo maneno uliyoandika hapo juu ndio maana halisi ya neno "Povu"
chige said: Unajua maana ya povu? Au angalau maana ya msemo wa "povu?" Click to expand... hayo maneno uliyoandika hapo juu ndio maana halisi ya neno "Povu"
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,888 Jan 2, 2017 #25 mzaramo said: hayo maneno uliyoandika hapo juu ndio maana halisi ya neno "Povu" Click to expand... Acha bhana... basi sawa!
mzaramo said: hayo maneno uliyoandika hapo juu ndio maana halisi ya neno "Povu" Click to expand... Acha bhana... basi sawa!
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,194 Jan 2, 2017 #26 chige said: Acha bhana... basi sawa! Click to expand... Kacheze unapochezaga mkuu.