Hivi ataimba wimbo wa mapenzi yana run dunia au dushelele
Hivi ataimba wimbo wa mapenzi yana run dunia au dushelele
Michael Jackson mpaka anakufa alikuwa bado anakula pesa za thriller.
Hivi ataimba wimbo wa mapenzi yana run dunia au dushelele
litafanyika wapi?!!!!
Ally Kiba anajua sana, heshima yake ipo pale plae, sema conflict na yule meneja wake ndio ilimfanya jamaa akae kimya, bora sasa huyu meneja mpya huenda atasaidia kumfanya Ally Kiba awe the topest like past.
All in all bravo mingi kwa Ally K.
Sasa hivi meneja wake nani?