Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,284
- 4,826
Hahaha.kiki mshikiHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
Hahaha.kiki mshikiHow about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh.
Umenena...Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡
Umeongea mpaka nimelia [emoji24]Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo.