Watangazaji huwa wanahoji tu, wao ndio watakuwa na sababu za kufanya hivyo!!Madhumuni ya kumhoji Yalikuwa ni nini!?
Ili iweje...!??
Hakuna kitu hapo.....hao waandishi mabashite...nia yao wanaijua wao..Msanii kuhojiwa ni jambo la kawaida
Kwani kuna msanii aliyewahi kusema kuwa anashindana nae ....... Na kama yupo tafadhari sana naomba video au hata audio yake.ALIKIBA - SITAKI MTU ANIINGILIE KATIKA MIPANGO YANGU, MIMI SISHINDANI NA MTU . . Mwanamuziki mahiri nchini Tanzania, Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu anayeshindana naye na kudai ila kama kuna watu wanataka kushindana na yeye basi atawaacha na kuendelea na mambo yake. . . Alikiba anasema katika maisha yake ya muziki hataki kuona mtu yoyote anamtoa katika njia yake, ndiyo maana watu ambao wanakuwa wakiongea ongea sana juu yake yeye na muziki wake hawapi nafasi, kwani anaamini akiwapa nafasi wanaweza kumtoa kwenye mambo ambayo yeye amekusudia kuyafanya hasa zaidi katika muziki wake. "Unajua kila binadamu ana tabia yake, kuna wengine wanajua kabisa kwamba wanakosea lakini wanafanya hivyo kwa sababu na wapo wengine wanakuwa wanaongea pasipokujua kama wanakosea, hivyo mimi kama msanii sitakiwi kusikiliza hivyo vitu sababu nakuwa na mipango na malengo yangu, hivyo sitaki mtu yoyote aniingilie kwenye mipango yangu kwa hiyo ukiwafuata unaweza kujiangusha" alisema. Mbali na hilo Alikiba amesema yeye haangalii ushindani na wala hashindani na mtu . . . "Mimi siangalii ushindani na wala sishindani na mtu ila kama wapo wanashindana na mimi nitawaacha washindane na mimi lakini mimi sishindani ila naangalia malengo yangu na mipango yangu katika muziki" aliongeza Alikiba. . . TOA MAONI YAKO HAPA
Atakuwa anamaanisha hashindani na Lavalava na Harmorapa maana ndo anaendana nao kwasasa?
Hasa pale wanapotafuta kikiMsanii kuhojiwa ni jambo la kawaida
ALIKIBA - SITAKI MTU ANIINGILIE KATIKA MIPANGO YANGU, MIMI SISHINDANI NA MTU . . Mwanamuziki mahiri nchini Tanzania, Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu anayeshindana naye na kudai ila kama kuna watu wanataka kushindana na yeye basi atawaacha na kuendelea na mambo yake. . . Alikiba anasema katika maisha yake ya muziki hataki kuona mtu yoyote anamtoa katika njia yake, ndiyo maana watu ambao wanakuwa wakiongea ongea sana juu yake yeye na muziki wake hawapi nafasi, kwani anaamini akiwapa nafasi wanaweza kumtoa kwenye mambo ambayo yeye amekusudia kuyafanya hasa zaidi katika muziki wake. "Unajua kila binadamu ana tabia yake, kuna wengine wanajua kabisa kwamba wanakosea lakini wanafanya hivyo kwa sababu na wapo wengine wanakuwa wanaongea pasipokujua kama wanakosea, hivyo mimi kama msanii sitakiwi kusikiliza hivyo vitu sababu nakuwa na mipango na malengo yangu, hivyo sitaki mtu yoyote aniingilie kwenye mipango yangu kwa hiyo ukiwafuata unaweza kujiangusha" alisema. Mbali na hilo Alikiba amesema yeye haangalii ushindani na wala hashindani na mtu . . . "Mimi siangalii ushindani na wala sishindani na mtu ila kama wapo wanashindana na mimi nitawaacha washindane na mimi lakini mimi sishindani ila naangalia malengo yangu na mipango yangu katika muziki" aliongeza Alikiba. . . TOA MAONI YAKO HAPA
Sio lazma umpende..wewe mwenyewe huna mafanikio ya kufanya upendweLabda kwa sababu ana maringo mengi. Hapendi kukosolewa