Uandishi wa Alikiba haufuati vinaWIFE WA DUNIA LYRICS BY ALI KIBA
Language : Swahili
Verse1
mwanzo nilikuona,
sijui nilikuona na nani eeh
Kwani najitahidi, niwe na wewe yah we
Kama ni ujanja ,
mwenyewe unajua me sina
(Wololox3) zile porojo zangu zinapopona si lazima
Yaani nikikuona me aah ,
kichwa kinaniuma
Ata mwili wangu ooh
Aah yawe eeh ,
Verse2
macho yangu yametoa machozi sana,
lakini moyo wangu una furaha,
ya kukuona,wewe kila siku,
kila siku iendayo kwa mungu,
Ona machozi yatoka eeh,
bila ata kuyavuta
(Refrain)
(Nakupenda wewe ,
nakufikiria wewe
lini nitakuwa na wewe)x2
Mimi nakupenda wewe ,
wife wa dunia nakupenda
verse3
huku nagumana,
rumba napiga na nani moyo wangu
naona picha ata kama siwezi soma
navuta hisia aah nalia kwani inaniuma sana
moyo wangu unaumia kwani inaniuma sana
ooh me nakupenda sana ila wewe hujui kabisa
(na moyo (unangojax2) ,
lakini najua hautakuja
Na bado naamini ,
utakuja uwe nami kimaisha)x4
Kiba anachomzidi domo ni sauti tu lkn kiuandishi akasome kwanzaUandishi wa Alikiba haufuati vina
Kama busara tungeenda kwa shehe ponda! Mziki tunataka burudani, na hakika Simba yuko vizuri kwenye hilo.. [emoji6]Hiyo mistari ya Ali Kiba unasikiliza hata ukiwa na wazee,huyo mwingine hakuna kitu aibu tupu.
Na hii inadhihirisha kiwango cha busara baina yao.
Period
Wivu wa kike huo,umetumia vigezo gan kusema kiba kaharibu?Ofcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
Weka zako bas tuone maana unajifanya unazijua kazi za watu sanaIzo line za kiba, msanii wa aina yyt ata underground anaweza chora coz hazina ubunifu wwt ni verse za kawaida sanaa tena sana......ila za domo zipo ki creative kidogo
Mnaomsifia diamond,kwenye hyo verse yake apo kaimba nn? Upuuzi tu na matusi,sidhani kma hzo nyimbo unaweza ukasikiloza au kutazama na mzazi wako......tunaandika vitu sense sio upuuzi wa matusi......king kinga go go kipenzi cha watuALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,
Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE
DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
Swali gani?!mbona umeshindwa kujibu swali au gumu ??
Sasa hapo umeona vina?!Angalia haya mashairi kama hayana vina
Wimbo storm is over by r Kelly
The Storm Is Over Now"
I was in a tunnel
And couldn't see the light
And whenever I'd look up
I couldn't see the sky
Sometimes when I'm standin'
It seems like I done walked for miles
And my heart could be cryin'
Dead in the middle of a smile
But then I climbed the hills
And saw the mountains
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
Heard a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free, whoa
Now in the midst of my battle
All hope was gone
Downtown in a rushed crowd
And felt all alone
And every now and then
I felt like I would lose my mind
I've been racin' for years
And still no finish line, oh
But then I climbed the hills
And saw the mountains (Mountains)
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
And then a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free
Somehow my beginning stepped right in (Right in)
Then faith became my friend (My friend)
And now I can depend
On the voices of the wind
When it's sayin' (Sayin')
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Won't you set me free
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Sasa hapo umeona vina?!Angalia haya mashairi kama hayana vina
Wimbo storm is over by r Kelly
The Storm Is Over Now"
I was in a tunnel
And couldn't see the light
And whenever I'd look up
I couldn't see the sky
Sometimes when I'm standin'
It seems like I done walked for miles
And my heart could be cryin'
Dead in the middle of a smile
But then I climbed the hills
And saw the mountains
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
Heard a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free, whoa
Now in the midst of my battle
All hope was gone
Downtown in a rushed crowd
And felt all alone
And every now and then
I felt like I would lose my mind
I've been racin' for years
And still no finish line, oh
But then I climbed the hills
And saw the mountains (Mountains)
I hollered help 'cause I was lost
Then I felt the strong wind
And then a small voice sayin'
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Come on and set me free
Somehow my beginning stepped right in (Right in)
Then faith became my friend (My friend)
And now I can depend
On the voices of the wind
When it's sayin' (Sayin')
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Won't you set me free
The storm is over
(The storm is over now)
And I can see the sunshine
(Somewhere beyond the clouds)
I can feel Heaven, yeah
(Heaven is over me)
Won't you come and set me free
Imekuchomaa eeeeh...iache ipenyeWeka zako bas tuone maana unajifanya unazijua kazi za watu sana
Hujui chochote bora unyamazeSasa hapo umeona vina?!
Au lugha ya kigeni imekutetemesha?!
Mna matatizo ya akili nyie ndii maaana mnapenda miziki ya kokoroOfcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
mmmm mond yupo nondo sanaUkiangalia uandishi wa mond ni mtu anaezingatia sana njia zote za kiuandishi wa mashairi kuanzia vina adi mizan jambo ambalo wasanii wengi waneshindwa kwa mfano angalia lyrics za huu wimbo apo ndo utajua uwezo wa domo kwny uandishi
DIAMOND PLATNUMZ – NASEMA NAWE LYRICS
Halloo, mmh!
Ah, kutwa kiguru njiani, majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa
Washinda vibarazani, ya wenzako kuropoka
Kwa kuwa umemuona fulani ona uso ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni, hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa una kasoro
Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow
Sio mwisho vibaoni, kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni, kuwa unakasoro
Uso mchana jioni, si wajuzi si
Ah!
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Umezoea….nasema nawewe
Chezea chezea…nasema nawe
Ah umezidi…nasema nawe
Zidi….nasema nawe
Zidi…nimechoka nasema nawe
Mh, mh
Ah! zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukaka
Usio mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuli uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Agah! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokari la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Oh! mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
Umezoea…nasema nawe
Chezea chezea nasema nawe
Ah! Umezidi…nasema nawe
Zidi…nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Oh!…nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe