el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 496
- 575
Tukiacha ushabiki katika uandishi wa mashairi Diamond yupo vizuri ila kama tutabaki tu kung'ang'ani u'king tu basi tukumbuke siku zote mfalme nyani atabaki kuwa mfalme kwa nyani wenzake tu.ALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,
Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE
DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
naona umeamua kubadilishana mada sasa kwa hiyo kule kwenye VINA ushaelewa?!Huyo anayelazimisha ana mafanikio kuliko huyo anayejua why ?
mbona umeshindwa kujibu swali au gumu ??naona umeamua kubadilishana mada sasa kwa hiyo kule kwenye VINA ushaelewa?!
Huyo mtoa mada mwenyewe ameonyesha yupo upande upi ila diamomd ametumia vina kama vya "-re" mfano kwenye maneno kama tetere,tembere,segere na ngedere pia ametumia vina vya "-ni" katika maneno kama tafrani na mnadani sio hivyo tu ametumia takriri kama ukiangalia ametumia neno "anadodoa" zaidi ya mara moja (sina uhakika kama anadodoa nilijua anadonoa).La mwisho pia ukiangalia upangaji wake wa beti umelifanya liweze kuimbika vizuri (ingawa kuna watu wanasema shairi(wimbo) sio lazima liimbike ili mradi tu liweze kuleta maana.Hivyo kwa upande wangu naona hapo diamond amemzidi mwenzake katika uandishi.(bila mapenzi ya ushabiki)Watu wafasihi watusaidie hapoo msilete ujanjaujanja tu...!!
Mtoa mada ameandika beti zao wote wawili akiwa na lengo tuangalie yupi amefanya nini?
Sasa bendera naona zinafuata upepo tu baada ya kuchambua
Acheni usengelema kwani anachoimba diamond kina maana gani na alichoimba kiba kina maana gani kokoro ndio lugha gani?Izo line za kiba, msanii wa aina yyt ata underground anaweza chora coz hazina ubunifu wwt ni verse za kawaida sanaa tena sana......ila za domo zipo ki creative kidogo
Kuhusu kuwakilisha mkoa wako wa kigoma ni kweli wote wawili wanawakilisha lakini linapokuja suala la nchi ni mmoja tu ndie anaewakilisha uyo mwingine anawapa sifa mbaya watu wa kigomaI love both Alikiba and Diamond, kwanza wanawakilisha nchi yangu vema lakini pia wanawakilisha mkoa wangu wa Kigoma vizuri pia
Mmoja anamzidi mwingine vitu vingi mkuu, huyo mmoja anaringia sauti yake ya kwanza ktk kwaya ya kanisaMe binafsi hawa jamaa wote wapo talented ila wazidiana vitu vichache tu kama Sauti..in short nawakubali kwa kazi zao
Tunaangalia jinsi mashairi yalivochorwa kwa hiyo maswala ya kuleta maana utajua mwenyewe lkn kama unafatilia mziki ayo mashairi yote yana maanaAcheni usengelema kwani anachoimba diamond kina maana gani na alichoimba kiba kina maana gani kokoro ndio lugha gani?
Ulichokiandika unakijua au umeropoka tu ilimradi na ww uchangie madaaina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake
Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.
Angalia haya mashairi kama hayana vinaaina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake
Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.
Hao wazee kuna nyimbo za Sikinde "Ngoma ya ukae" pia DDC Mlimani zinawafaa sana tutawapa wasikilize ila hapo ukiangalia kiuandishi Diamomd ameonekana yupo vizuri zaidi ya Kiba ila mkijifanya hamuoni na hamuelewi na sisi tunajifanya tunaona na kuelewa yetu.Kuna nyimbo kama Nitarejea,Mbagala nk unaweza ukasikiliza na wazee piaHiyo mistari ya Ali Kiba unasikiliza hata ukiwa na wazee,huyo mwingine hakuna kitu aibu tupu.
Na hii inadhihirisha kiwango cha busara baina yao.
Period