Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Ofcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazinguaALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,
Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE
DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
hahahaaaOfcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
Baada ya salome kiba alitoa collable mbili nitulize na nisamehe je na yy lengo lake ilikuwa kuizima salomeHahahaha Diamond Noma....
Ila Huyu Jamaa Akishaonaga Team Kiba Wametoa Wimbo Naye Anatoa Ili Kuizima Nyimbo za Team Kiba
nimeamini anayekuchukia hata ukiogelea atasema unamtimulia vumbiOfcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
Uwezo wako uko Chini ya nyayo zakoALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,
Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE
DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
Tumbwisa tumbwisaaaAlikiba kanunua nyumba south africa, angalia picha za mjengo wake hapa>>> CAR FROM JAPAN : Xmas Car Giveaway 2016
aina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zakeKuna msanii hana vina
nimetafuta kwa tochi nimevikosa
Huyo anayelazimisha ana mafanikio kuliko huyo anayejua why ?aina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake
Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.