mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Huyu alikiba hata akaimbe wapi simwelewi
Anavujisha makusudi cuz hana konfidensi kama ngoma itahiti au la hivyo anapima urefu wa mto kwa kuingiza mguu mmoja. Ikibuma anadai imevuja ikihiti anakuja na stori nyingine.Kuanza na audio tuu hilo huwa ni kosa
Kuji promote bado si sana
Nyimbo zake nyingi huvuja kabla ya kutambulishwa