Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #1,661
Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu
Mhuu sijui nani Kashindaaa!!
Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu
yaani km namuona vile wakati anaandika hivyo huku kimoyomoyo anasema eeh Mungu nisamehe kwa huu uongo ninaoandika ilihali nikijua ni uongo", hapana chezea kiba wewe
Hela ya ualimu chinga anunue bundle ya mwezi!!thubutu yake mwenyewe boxer ikamberebete huko..
nini boda anaona km inamchelewesha, kashikilia ndala mkononi akatimka na akifika utashangaa anajitambulisha yeye nifah
Lazima mtofautishe kati ya jumlisha na msalaba, x na zidisha.
Mtasubiri sana, hivi dushelele anatoa lini kibao maana lifti ipo ya Nitampata wapi.?
timu bora n magoli cku zote,mtu hajawah kuwa nominees katka tuzo zozote zaid ya kill mtasemaje n king.
Wanajaribu kuupindisha ukweli jamani...huku kimoyomoyo wanamkubali...
Kuna siku nilimuona mtu anamponda Kiba eti ana sauti mbaya anashangaa tunavyomsifia nilicheka sana,sasa the king of r&b dunia nzima alishangaa na kuisifia kwelikweli yeye akimponda ni nani?anaujua mziki kuliko R.Kelly?chuki zinaua jamani
Baambie bAambie...kumekucha tena, duuh!! kumbe mnazisubiri kwa hamuuu nyimbo zake zingine huku mnajifanya hamumpendi, mcjali atawapa burudani kama kawaaa na mtasuuzika as always
Kwa hiyo tukusaidiaje kwa mfano....ndio keshakua king kajinyonge basi
Sasa ndio wajiulize iweje mtu asokuwa nominated kAtika tuzo wAnazotaka wao awape jamba jamba!pressure na mikunjo ya nafsiii...mnamkubali kiana kumbeee,!nshasema hapa LAZIMA MJEEE kizuri kizuri tu kulaleki!
Wanajaribu kuupindisha ukweli jamani...huku kimoyomoyo wanamkubali...
Kuna siku nilimuona mtu anamponda Kiba eti ana sauti mbaya anashangaa tunavyomsifia nilicheka sana,sasa the king of r&b dunia nzima alishangaa na kuisifia kwelikweli yeye akimponda ni nani?anaujua mziki kuliko R.Kelly?chuki zinaua jamani
Bado my dia sisi tunaotumia simu tunakomaje?tunabahatisha tu
timu bora n magoli cku zote,mtu hajawah kuwa nominees katka tuzo zozote zaid ya kill mtasemaje n king.