M mandingo6262 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 424 Reaction score 82 Aug 2, 2015 #16,641 Abou Saydou said: Ktma ndio mkoa/wilaya/nchi gani ? Au jimbo jipya la uchaguzi? Click to expand... Kili music awards
Abou Saydou said: Ktma ndio mkoa/wilaya/nchi gani ? Au jimbo jipya la uchaguzi? Click to expand... Kili music awards
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Aug 2, 2015 #16,642 BansenBurner said: Watu wameona wakajipoze na siasa kingStrss Click to expand... Mwezi mchanga unakusumbua Dada majungu si mtaji useme ufanye utajirike. #WanaumeKamaMabinti
BansenBurner said: Watu wameona wakajipoze na siasa kingStrss Click to expand... Mwezi mchanga unakusumbua Dada majungu si mtaji useme ufanye utajirike. #WanaumeKamaMabinti
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Aug 2, 2015 #16,643 peterchoka said: mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati Click to expand... Bora kwa wakati uu asubirie alijichelewesha Ku release new song,video sasa attentions yote uchaguzi bora asubirie asije Fanya biashara kichaa
peterchoka said: mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati Click to expand... Bora kwa wakati uu asubirie alijichelewesha Ku release new song,video sasa attentions yote uchaguzi bora asubirie asije Fanya biashara kichaa
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,644 duu afadhali mana ninge sutwa mimi
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,645 mi kila siku nawaambia huu mwaka ni wa kiba
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Aug 2, 2015 #16,646 pwilo said: mi kila siku nawaambia huu mwaka ni wa kiba Click to expand... tuzione na hizo kazi pwilo tunataka vitendo sasa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pwilo said: mi kila siku nawaambia huu mwaka ni wa kiba Click to expand... tuzione na hizo kazi pwilo tunataka vitendo sasa
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,647 tulieni Attachments 1438535775924.jpg 17.5 KB · Views: 187
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,648 Th Name kuna watu watakimbia kwa muda humu kuna kama ngoma tano zinakuja tumechoka zarau sisi #nagharamia hiyoooo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Th Name kuna watu watakimbia kwa muda humu kuna kama ngoma tano zinakuja tumechoka zarau sisi #nagharamia hiyoooo
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,649 😀😀😀😀😀😀 hapy day ukitaka kusikia kipande ....... ni balaa
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Aug 2, 2015 #16,650 pwilo said: Th Name kuna watu watakimbia kwa muda humu kuna kama ngoma tano zinakuja tumechoka zarau sisi #nagharamia hiyoooo Click to expand... hiyo ngoma inatoka lini? itaambatana video au? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pwilo said: Th Name kuna watu watakimbia kwa muda humu kuna kama ngoma tano zinakuja tumechoka zarau sisi #nagharamia hiyoooo Click to expand... hiyo ngoma inatoka lini? itaambatana video au?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,651 Th Name kiba ana hatari sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Aug 2, 2015 #16,652 pwilo said: 😀😀😀😀😀😀 hapy day ukitaka kusikia kipande ....... ni balaa Click to expand... hiyo ngoma umeipata wapi
pwilo said: 😀😀😀😀😀😀 hapy day ukitaka kusikia kipande ....... ni balaa Click to expand... hiyo ngoma umeipata wapi
B beast Member Joined Jul 30, 2015 Posts 16 Reaction score 5 Aug 2, 2015 #16,653 Tatizo cyo sauti tatizo lake ni video na style za uchezaji, akiboresha hivyo atang'aa xana
M mandingo6262 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 424 Reaction score 82 Aug 2, 2015 #16,654 Ali K hajajitambua bado, hivyo akijitambua ataweza
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,655 mkuu Th Name jf inasumbua na attach unakataa comment failed au ni kwangu tu mkuu Th Name Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,656 Th Name twitter kwa a/c yake naona mi inasumbua mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,657 beast said: Tatizo cyo sauti tatizo lake ni video na style za uchezaji, akiboresha hivyo atang'aa xana Click to expand... yani 4posts una mdis kiba au mnabadilisha id
beast said: Tatizo cyo sauti tatizo lake ni video na style za uchezaji, akiboresha hivyo atang'aa xana Click to expand... yani 4posts una mdis kiba au mnabadilisha id
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,585 Reaction score 14,669 Aug 2, 2015 #16,658 mandingo6262 said: Ali K hajajitambua bado, hivyo akijitambua ataweza Click to expand... we ngoja huu mwezi ndo utajua anajitambua au la?
mandingo6262 said: Ali K hajajitambua bado, hivyo akijitambua ataweza Click to expand... we ngoja huu mwezi ndo utajua anajitambua au la?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Aug 2, 2015 #16,659 pwilo said: mkuu Th Name jf inasumbua na attach unakataa comment failed au ni kwangu tu mkuu Th Name Click to expand... leo kuna shida kidogo. hata notification sipati kabisa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pwilo said: mkuu Th Name jf inasumbua na attach unakataa comment failed au ni kwangu tu mkuu Th Name Click to expand... leo kuna shida kidogo. hata notification sipati kabisa
N Ndusty JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 407 Reaction score 146 Aug 3, 2015 #16,660 nifah said: Umeshaipata au bado? Click to expand... bado nduguyangu nifah..ni pm