BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
views=viewers✅
Auu? Nifundishe #dadabeseni mimi shule sijaenda nangoja mchango ila natafuta kampani
Viewers Views ni same ni watazamaji tu kama ww ambaye hopefully umeipa nana views kama 5 hiv. Kwaio mondi yuko perfect kwanza hyo views youtube ndio wanaandika wenyewe
Kwa hiyo visit na visitors ni sawa?
Hahahaaaaa cute b bwana!Hahahaaaa nifah wew ni mtoto wa wapi? Lol sio kwa vichambo hivyo..
Eti " Linda heshima yako kiduchu iliyobakia mjinga wewe."
Nimecheka sana maana asipolinda hicho alichobakiwa nacho ndio basi tena
Ndio unamaanisha nini? Mimi sio teja mwenzio bwana.Bado nyonga nivute.
Ndio unamaanisha nini? Mimi sio teja mwenzio bwana.
Umesahau ile siku uliyokua unaandika pumba nikakushtua ukasema ushapiga vitu vyako a.k.a bhange?
Ndio maana nimekuuliza hivyo.
Ata K zingne zilivyotam ad zinalewesha uwez jua nilipiga vitu vyangu nn ckuile. Bangi never.. by the way I was drunk tht day alaf ckuandika pumba yani ww dah. Ilimradi niudhike tu na umekuta niko vzr leo haha. M nacheka tu cjui umekechi
Wewe ni mpuuzi, ngoja nikafanye mambo yangu ya maana.
Lazima ucheke tu maana huna hoja, hujiwezi...
Ulitaka moto umekuwakia weeee...
Ndio ukome kuchokoza namba nyingine sizo.
Nimeamua kurudi ili 'KULINDA HESHIMA' maana kufanyiwa dhihaka na popoma kama wewe nisingeweza kuvumilia kabisa.Thank you I feel lke I buy ur time"tangia useme u cnt argue with me thn umepoteza ur precision time lke ths teh teh.
wasalimie once again bana
Hahahaaaaa wewe kiboko aiseeh
Nimeamua kurudi ili 'KULINDA HESHIMA' maana kufanyiwa dhihaka na popoma kama wewe nisingeweza kuvumilia kabisa.
Halafu mbona umeshukuru sana nilivyokupumzisha? Sindano nilizokupa leo hutokaa uzisahau choko wewe.
Mwanamke jiko, kupika kwangu ni fahari...Haha mchezaji ww refa ww umeshinda basi duh" povu bwana noma sana. Kapike vitumbua uko
Vichambo vya kike hivi yani hapo ni kama unabishana na Dada mwenziwe kwa jina #dadabeseni angekua mwanaume#Rijali huwa hana mda mchafu kwa vile yeye ni Dada lazma afanye competition.Shoga ninachambwaje sasa? Uwiiii...
Naona hivi vichambo ni type ya manzese, tandale, tandika na temeke au mwananyamala huko....
Maana ni balaa!
Nilikua sijui kama [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=dadabeseni]#dadabeseni [/URL] anajua kuchamba hivi, bora tu leo nimejionea na kuanzia sasa 'nitamheshimu' maana sio kwa vichambo hivi!
peterchoka niambie kaka. za siku nyingikuna mtu namuona ana mwisho mbaya baada ya kusema kuwa amechoka kuburuzwa na shetani, dah!!!!!!!