Ali Kiba Fans' Special Thread...

Duuuh huyu jamaa anatisha..
Kiba bhana ni namba nyingine.
Yaani hapo ni live hamnag playback ila watu wame enjoy kinoma.
Sauti ya kiba ni nzuri sana na anajua kuitumia.
Akiendelea hivi atakuja kuwa msanii mkubwa aliyetoka kivyake yaan kwa stail yake.
 

Attachments

  • 1437906842590.jpg
    49.2 KB · Views: 86

Live amna feedback kiba kweli hatareee
 
Ndio ukweli huo ata kamaa unaongea kinafiki ila kiba ana sauti nzuri na live anaimba vizuri sana.
Ana pumzi ya kutosha.
#say #no #to #unafiki
My dear, kwakua mimi ni muelewa najua matatizo ya hizi smart phone sometimes zinazingua.
Pale kwenye feedback nadhani ulimaanisha playback. ..
Sasa huyu mwanaume jina ndicho anachocheka!
Aibu sana kwa mwanaume anayevaa suruali kufanya mambo ya kipuuzi namna hii!
 
Hivi wewe nae unajiita mwanaume? Na hapo si ajabu una mwanamke au mke na familia ambaye nae anadhani ana mwanaume.
Acha huu upumbavu, act like a man.
Mwanaume wa ukweli hawezi fanya ujinga kama huu.

Ujinga ni upi hapo? Nisicheke kama kitu kimenifurahisha? Cna family am stl vry young ... smartphone iandike feedback badala ya playback kuanzia lini labda hujui words predictions hw it work kwenye keyboard naww.
 

Hahahaaa ila uzuri ni kwamba ameelewa.
Ndo maana ameweza kutofautisha kati ya play back na feed back.
Ngumu kumeza lakini avumilie tuu
 
Ujinga ni upi hapo? Nisicheke kama kitu kimenifurahisha? Cna family am stl vry young ... smartphone iandike feedback badala ya playback kuanzia lini labda hujui words predictions hw it work kwenye keyboard naww.

Kwenda zako huko na wewe, mpuuzi fulani tu...
Hata hivyo sina muda wa kupoteza kuargue na wewe...
Nina mengi ya kufanya.
 
Jionee utofauti...
Wakati King Kiba anafanya live music namna hii

Mwingine anafanya 'Live......' namna hii

Ni aibu kwa mtu anayejitambua kumshabikia mhuni kama huyu.
 
Jionee utofauti...
Wakati King Kiba anafanya live music namna hii

Mwingine anafanya 'Live......' namna hii

Ni aibu kwa mtu anayejitambua kumshabikia mhuni kama huyu.

Hahahaaaa dear umeuaa.
Huyo mr icon anafanya live minenguo hagagagaaaa
 

Le newspaper...
Mnakosea sana kumwongelea kiba na ndomo.
Kwani huwezi mshauri bila kumfananisha na domo?
Sisi tumemkubali hivyo hivyo
 

Teh teh katka hao watu wenye hadhi uliokaa nao nahisi ndio kidampa katka wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…