+mwambieni atafute msanii wa kimataifa ambaye yupo kwenye peak Africa afanye naye collabo.
+aache kudharau kufanya collabo na wasanii wa kimataifa eti kisa yeye msanii mzuri ana sauti nzuri, au asiogope kuja kuambiwa msanii flani alimtoa, mziki umebadilika sasa hivi!