Management ya kiba naona ndo tatizo sidhani kama wanahangaika ktk kuteka soko la nje na pia kiba anatakiwa aishi kistaa, awe mbunifu, abadil style inapobid kwan mziki biashara sio kubak style ile ile sio makumbusho lazima a change kusaka soko, management yake iwe na kiu ya kwenda mbele zaid sio kiu tu bal tuone utendaj wa hyo management, alaf kwa mashabiki hizi team znaua mziki, tunatakiwa kusapot wasanii wote ila wasanii wanaosapotiwa wasilete nyodo washukur mashabik woote sio kuleta vijembe sijui na vishoka sio vizur mziki ni wetu wasanii ni wetu nchi ni ya kwetu tusapoti vya kwetu.