Hhhhhhhaaaa ndomo hua naponda mambo yake, au wema naponda napoona panatakiwa niponde lakini Daimond nasifia kazi zake yaan kajitahidii kimuziki kujulikana eeee, sio akifanya kosa nimsifie tu hapana lakini kimuziki yupo juuuu, pia hata Ally k mi nampenda pia muziki wake kushuka kwake sio amkomoe daimond hapana apigane tu na yeye afanikiwe ,napenda wafanikiwe wote wawe juu kama Ally k akiwa juu ntapenda zaid pia,sasa nyie inaonyesha mnalalia upande mmoja
Tupishe apa, ndomo my foot, kiba ndo habar ya mujini, na bado juzi tumemzoea kesho tunamwagia tindikali, mbona ataipenda
Kwakweli hata mtume Paulo hawafikii hawa ni kiboko, sijui pc zao wanatumia voice command?
Mkuu ebu anzisha special thread ya diamond
Kuzomea tu safari hii.....au akipanda jukwaani namrushia ndizi.Teh teh
Tupishe apa, ndomo my foot, kiba ndo habar ya mujini, na bado juzi tumemzoea kesho tunamwagia tindikali, mbona ataipenda
Dinazarde ebu tupishe apa usituaribie mood na ndomo wako, mbona wakat anazomewa pale leaders ukumtetea? Siku izi nipo busy maana nimepewa cheo na kiba kusimamia new project ya team kiba kwa hiyo please binamu usinipotezee ugali wangu, oooh , wenzio kuna bonge la project tunafanya yani itakuwa ni bonge la surprise , nadhan team domo kubwa mtaugua ebola ghafla
Kuzomea tu safari hii.....au akipanda jukwaani namrushia ndizi.Teh teh
No ypo sahh wabongo tnaboa sana,tnapenda kuishi kihistoria zaid na hili si hapa hata maisha ya kawaida huwa tunamove kinyumenyume!....MAAD ZA KIJINGA ZINAJADILIWA SANA KULKO ZA MAENDELEO...KUMJADLI MTU HAKUFANYI.AIMBE VZR..MUZIKI NI HISIA HUWEZ KUMFANYA MTU AMKBALI MTU ASIEKUWA NA HISIA DHIDI YKE
Kuzomea tu safari hii.....au akipanda jukwaani namrushia ndizi.Teh teh
Wewe nawe ndio umeandika nini sasa???hebu tulia uje na kitu cha maana acha kutetemeka....
It sound superb .... Team zinapaswa kuwa name mawazo haya ya kuwainua wasanii na kiwapa mbinu zaidi...Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.
Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.
La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.
warumi nifah geniveros
Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.
Tindikal binamu, tena usoni akitoka apa atakuwa na adabu kama kipindi kile alivyokuwa tandale anauza miguu ya kuku na utumbo tandale
Mmhhhh,project gani tena hiyo binam??natamanije kujua sasa....uwiiii umbea utaniua
Tindikal binamu, tena usoni akitoka apa atakuwa na adabu kama kipindi kile alivyokuwa tandale anauza miguu ya kuku na utumbo tandale
Chezea tshirt wewe........yaani ni sheedah
Nawapenda hawa negro wawili. Hahaha me naona iandaliwe mechi Kati ya kiba na diamond ili mshindi atambulike hahaha... Meneja wa kiba na dai Tengenezeni hela kwa kuandaa shindano mjifanye mnatafuta nani zaidi muwajaze mashabiki mle mshiko wa nguvu. Kila mahali sasa hivi Tz ni team. Msipoangalia hata home kutakuwa name team baba na team mama hahaha
warumi tumia fursa hiyo kabla bikra wa kisukuma hajakuzidi
Out of topic: nasikia eti bikra wa kisukuma ameshauzimikia mhogo wa dai na muwasho ushaanza ndo maana kutwa kumtaja dai (samahani kwa kuharibu mtiririko ila kazi name Dawa)
It sound superb .... Team zinapaswa kuwa name mawazo haya ya kuwainua wasanii na kiwapa mbinu zaidi...
BTW mwambie kiba nampenda alivyo anaonekana kijentromeno yanii mhhh