Mashabiki wa Kiba wote ni watu makini sana,wenye busara,adabu na wanaojielewa!Hawashabikii kimkumbo tu,wana maamuzi magumu na wapo firm,na hilo wamejifunza kutoka kwa Kiba mwenyewe,tena sio kwamba wanamchukia Diamond!Hapana ila wameamua kumshabiki kiba,kwani kinyume cha kumpenda Kiba ni kumchukia mwingine!!