Ali Kiba Fans' Special Thread...


hata wanaelewa basiiii, kila afanyalo kiba kwao baya mara anakata viuno, sasaaaa mnavyotutingishiaga makalio na kuvua nguo jukwaani yale ni tuyaiteje!!!
hebu mwacheni king afanye yake na km mwaona sie twapiga kelele nyie watulivu kutwa kuhashuka humu mwatafuta nn???
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeee Diva na aje kuokoa hili janga jamani!

hivi ni wapi kiba aliwahi kusema anashindana na ndomo???
kujistukia kubaya sana na kutafsiri kila jambo kwa namna unayotaka wewe na ukataka kila mtu aamini hivyo.
so in other way kumbe mwashindana na kiba!!!!
okey endeleeni tu walaa hamshikiwi jambia
 
Last edited by a moderator:
Nampenda sana kijana Wang king kiba

sanaaaaaahh! duuh watu wanaongezeka tu na ndio watu wanazidi kuumia na kutafuta every justification ili kiba aonekane mbaya, kizuri chajiuza meeeen!!
 

Attachments

  • 1419788707664.jpg
    67 KB · Views: 112
  • 1419788731180.jpg
    49.7 KB · Views: 106
  • 1419788750014.jpg
    88.2 KB · Views: 108
Last edited by a moderator:
hahaha nipo sema niko huku na network inasumbua kidogo huku tunatumia ya Uganda! Marry Christmas

Na nilitaka kukuuliza uko bukoba nini?
Aisee hiyo picha ya pili hapo mate yamenitoka...penda sana ndizi nyama mimi!
 

Attachments

  • 1419791139473.jpg
    32.3 KB · Views: 86
  • 1419791162368.jpg
    43.3 KB · Views: 83
Last edited by a moderator:
huyu mzee anazeeka vibaya sasa, alianza kwa kutongoza wajukuu zake humu sasa naona anazidi kuwa worse.

Tuheshimiane mdogo wangu,nani nimewahi kumtongoza humu ndani? niheshimu nikuheshimu,usipo niheshimu sito kuheshimu.
 

Video ya mwana Ina quality ndogo ?

Then kiba keshaamua kuita wimbo mwanadar na video kashut south na tumeipokea kwa mikono miwili
Muacheni apumue kijana wa watu mtakufa na roho za kwann

Angeshut Dar mngesema kafulia ana pesa ,binadamu amkoc la kusema🚶🚶🚶
 
Unapaniki ?

kaka hii kitu haikuhusu na siwezi kupaniki kwa hoja za kitoto,siwezi kumfumbia macho mtu anae kupa tuhuma pasipo na ushahidi....arejee post zangu zote za nyuma then aweke hapa jamvini ni lini nime mtongoza mtu hapa.
 

hv ni 'mwana' au 'mwa dar es salaam'???
binadamu bwana, chuki zingine hata hazileti maana, waseme tu midomo ni yao na walaaaa hawalipi vat, ila Kiba ndio ashatusua hivyoo
 
hv ni 'mwana' au 'mwa dar es salaam'???
binadamu bwana, chuki zingine hata hazileti maana, waseme tu midomo ni yao na walaaaa hawalipi vat, ila Kiba ndio ashatusua hivyoo

Inaitwa Mwana na sio mwanadsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…