Tatizo wabongo ni tu watu Wa ajabu sana.mnashindwa kujua mziki aimbao diamond na aly kiba kua ni tofauti sana.alikiba anamashairi mazuri sana ktk kuiasa na kuikanya jamii.diamond anaimba mziki Wa kibiashara ile soko linataka,ndo mana imekua rahisi kukubarika hata nje ya nchi.hawa watu kwa mtazamo wangu wameanza kujielew ndo mana wao kama wao hawapendi kulizungumzia bif lao na wanakili kuna watu wasiowatakia mema wanawafitnisha.siku watakapopatana na kufanya kazi moja ndo sijui itakua mwisho Wa team kiba na team diamond.ngoja tuone