Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ukimaliza ku comment......jipatie t shirt maridhawa ya Kiba 4 real,ntalipa.
Mhhhhhhhh sasa huyu King alikua wapi siku zote????????
Kasubiri wenzake wamekaa kwenye game eti "The king is back...
Ali Kiba tunajua una sauti nzuri ila you were having all the time hukuweza kutumia
usilazimishe kurudi kwa nguvu just let the nature do its course.. ni sawa na sa hizi
Afande Sele arudi aanze kusema "Mfalme wa Rhymes" nimerudi" Ni kitu hakiwezekani
Kila mfalme na wakati wake..
#Matola mzgo wa tshirt ukiingia tu brth naomba ucnisahau kweny ufalme wako
Na mimi hiyo t-shirt naihitaji, tena nitainunua mara 3 ya bei.
Si kwamba nina hela sana! La hasha, ni kwa vile napenda kazi yake, tabia yake napenda kumsaport pia.
Bepari M.
Na mimi hiyo t-shirt naihitaji, tena nitainunua mara 3 ya bei.
Si kwamba nina hela sana! La hasha, ni kwa vile napenda kazi yake, tabia yake napenda kumsaport pia.
Bepari M.
Hhhhhhhaaaa ndomo hua naponda mambo yake, au wema naponda napoona panatakiwa niponde lakini Daimond nasifia kazi zake yaan kajitahidii kimuziki kujulikana eeee, sio akifanya kosa nimsifie tu hapana lakini kimuziki yupo juuuu, pia hata Ally k mi nampenda pia muziki wake kushuka kwake sio amkomoe daimond hapana apigane tu na yeye afanikiwe ,napenda wafanikiwe wote wawe juu kama Ally k akiwa juu ntapenda zaid pia,sasa nyie inaonyesha mnalalia upande mmoja
Wapiii???nani anunue huo uchafu??duka halipo tena wala hizo T-shirt wanavaa wenyewe (ndomo na dancers wake)
Unaona shost yangu ulivyo na chuki sijui husuda,t shirt mbona walinunua wengi mnoo na ziliisha wakitaka wataongeza
Shoga,hapa mjini na kuuza kwangu matunda kooote,na daladala kimi napanda daily sijawahi hata siku moja kwa bahati mbaya kukutana na mtu yeyote alovaa izo tshirt!nliona pic moja ya huyo nasseeb kavaa,so hao wengi walizivundika!!Unaona shost yangu ulivyo na chuki sijui husuda,t shirt mbona walinunua wengi mnoo na ziliisha wakitaka wataongeza
Wanazivalia wapi mbona mimi sizioni kitaa? Au ni night dress?
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....