Daaa kuna vituko sana humu! Mimi napenda ushindani huu uendelee mkizingatia kuto sahau kununua kazi zao!
Kule
WWW.mkito.com nyimbo ya Mwana Fa feat Alikiba inaongoza kwa kupakuliwa hadi sasa!
Mtifuano wa namna hii inasaidia wasanii kuto bweteka kabisa nakujua kuwa kuna upinzani kutoka kwa wengine!
Nilitegemea
Matola hapo juu kwenye thread uweke website link ya mkito.com na uwaimize mashabiki wake kununua nyimbo zake.
Hata wale wa diamond nilitegemea wafungue Uzi kuhamasisha wenzao kununua nyimbo za Dianond maana haya ya kuwasifu yanaweza yasiwasaidie kabisa lakini ambacho mashabiki mnaweza kufanya ni kununua nyimbo zao na huo ndio utakuwa upendo wa kweli na ushindani ulio na tija
Shindaneni kununua nyimbo zao!
Tafadhali msitoane macho