Hakuna asiyecheza dance la Mwana japo kwa kutikisa kichwa na viwiko vya mikono!!hatare sana.Mwafulani anajua kuchezesha mabega tu kama mbeba rumbesa,huwa ananikera na kushtuka shtuka kama ana degedege if u knw what I mean!!