Wewe nawe tuliza b.usha chini naona linakusumbua nenda ukapate chanjo au hujasikia yana chanjo/tiba??? nenda ukapate mwisho kesho
Alafu ndio uje huku baada ya kupona
Mi alinikunaga kwenye wimbo huu pia na una maana sana.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."