Hivi wewe hata lugha ya picha inakushinda? Ona hii rout ilivyoanza leo, point A City center point B upanga point C Kino Octar's pub point D Mango Garden point e network searching..........
hahaaa Diva nae akaondoka kimyakimya bila tamko, alivyokuja nikasema leo Ms.Lincoln unalo, hahaaaa we nenda tu mama haya mambo hayatabirikagi waweza fanya mapinduzi atii