Nihaoooooooooooo, hivi tunavyoongea Mkulu yupo Beijing kuipiga bei gesi yetu
Kwa upande wangu mimi sina tatizo tangu jana natafuta namba ya Kiba sijapata na yeye bado hajarespond msg yangu kupitia facebook messenger.
Si unajuwa haya ni mambo ya kibiashara huwezi kufanya kitu bila kukaa mezani na muhusika ni maharamia tu ndio wanafanya biashara bila kumshirikisha muhusika.
Ninachokifanya sasa ni quotation ya China, South Africa na Tanzania then nitaweka vitu mezani na nataka nijuwe yeye ana strategy ipi, maana inaonekana huyu jamaa ni mzito kidogo kwenye life style. Mimi ukinitumia msg kwenye messenger au e-mail ndani ya dakika 5-10 nakuwa nimeshajibu.
Naweza kukusaidia namba ya allyk km ukihitaji,nawakubali wote wako vzr,dangote anatuwakilsha cc akna kayumba kwa kupambana mpka kutusua,ally ni the bst kwangu.
Ushauri wangu wa leo kwa mfalme,aanze rasmi mkakati yakinifu ya kujua jinsi ya kuliteka jukwaa kwa kuserebuka!,afanye mazoez ya chereography mauno yanachosha,ikiwezekana aajiri hata madansa,ajifunze pia walau kupiga chombo itamsaidi!love u sana,ingawa watu inawauma wakisikia sisi fans tunakutia moyo na tunakupenda!
Weekend hii Mpwa............,
Ya kunisaidia wala sihitaji, Sugu ni mshkaji wangu sana naweza kumpigia nikaipata hii namba fasta.
Ya kunisaidia wala sihitaji, Sugu ni mshkaji wangu sana naweza kumpigia nikaipata hii namba fasta.
Na wewe Dinazarde acha kuishupalia video ya Kiba wewe...hivi unajua huo wimbo wa mwana aliutunga mwaka gani hadi akaamua kuu release mwaka huu???kwa nini umpangie wakati wa kutoa video?
Video zote alizotoa kama Mac muga ambayo alifanyia south afrika alikuletea bakuli hadi leo utake kumchangia tena???
Au unadhani huyo ndomo ndiye msanii wa kwanza kufanya video nje?Kiba alishafanya kitambo
Tulia tafuta mada nyingine kuhusu video muachie Kiba na management yake wanajua nini wanafanya...ikishatoka ndio urudi kutoa comments zako
IKBA ndio nani?mbona mashabiki wa ndomo mna matatizo ya kuandika jamani???
Ivi kiba ana uzee gani?mbona vitu vingine haviingii akilini?haya tuambie ana miaka mingapi??
Hhhhaaaaaaaaa,kwan kuna ubaya sisi kumsaidia kiba jamani si ni upendo tu au,kiba ana majukumu mengi si unaona hata sms hajibu wala email yaan kawakaushia hadi nyie, sijaamini jamanii, sie hatuna chuki kama nyie mchukiavyo ndomo,sie twawapenda wotee nyie mwataka ndomo apotee haiwez tokeaaa yaan ni sawasawa na sisimiz kumfinya Tembo ,we toa ushauri sio kupanikii hivi unafikiri kiba hataki kutoa video ya Mwana anataka sana ila ndio hivyo maskini tumuchangie tu mi nataman aitwe ashindanie tuzo kama ndomo😀🙁
Na wewe kwa kimuhemuhe na kimbelefront hivi umekumbuka hata kuvaa chupi leo kweli?
Ninapendekeza video ya mwana Darisalam izinduliwe uwanja wa taifa au leaders
Hhhhaaaaaaaaa,kwan kuna ubaya sisi kumsaidia kiba jamani si ni upendo tu au,kiba ana majukumu mengi si unaona hata sms hajibu wala email yaan kawakaushia hadi nyie, sijaamini jamanii, sie hatuna chuki kama nyie mchukiavyo ndomo,sie twawapenda wotee nyie mwataka ndomo apotee haiwez tokeaaa yaan ni sawasawa na sisimiz kumfinya Tembo ,we toa ushauri sio kupanikii hivi unafikiri kiba hataki kutoa video ya Mwana anataka sana ila ndio hivyo maskini tumuchangie tu mi nataman aitwe ashindanie tuzo kama ndomo😀🙁
Mpwa wanga wengi hapa, pitia mlango wa Prime Minister.
Ninapendekeza video ya mwana Darisalam izinduliwe uwanja wa taifa au leaders
uwiiiiiiiiiiiiiii
container pole........naona msaada wako umekua rejected..............Ok shukrani!