Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Dada una roho nyeusi mpaka kuombeana vifo!unlike us,tunawaombea mashabiki wote wa ndomo na yeye mwenyewe maisha marefu yalojaa fanaka na afya tele!adui yako mwombee maisha ili aone mafanikio yako,huu ni ushabiki tu usitoe utu na upendo wetu kama binadamu!Ndo maana mnapoanza kutukana tunawadharau tu
embu nitolee unafki wako hapa, nioneshe post yoyote ya ninyi mnaojiita sisi, mliomwombea heri mondi???? wenye ROHO MBAYA KAMA WAKAANGA SUMU NI NYIE MNAOJIITA SISI, MLIYEMZOMEA KIJANA WA WATU KWA JUHUDI ZAKE. narudia tena utakufa macho wazi kwa roho mbaya zenuu, kila kukicha mmekalia kumtukana mondi wa watu, mara malaya utadhania anatumiaga dudu zenu, mara anaringa maneno mabaya juu yake hayawaishi, kuna aliyeandika hapa jf anatamani na anamuomba Mungu kila siku ili mondi afulie, mtu kama huyu kwanini asife amesimama???? ndio ishasema sasa
Ali Kiba hajafanya nini ? au mpaka na yeye abebe mzigo.
embu nitolee unafki wako hapa, nioneshe post yoyote ya ninyi mnaojiita sisi, mliomwombea heri mondi???? wenye ROHO MBAYA KAMA WAKAANGA SUMU NI NYIE MNAOJIITA SISI, MLIYEMZOMEA KIJANA WA WATU KWA JUHUDI ZAKE. narudia tena utakufa macho wazi kwa roho mbaya zenuu, kila kukicha mmekalia kumtukana mondi wa watu, mara malaya utadhania anatumiaga dudu zenu, mara anaringa maneno mabaya juu yake hayawaishi, kuna aliyeandika hapa jf anatamani na anamuomba Mungu kila siku ili mondi afulie, mtu kama huyu kwanini asife amesimama???? ndio ishasema sasa
Mwacheni huyo mzee Ali Kiba afanye mambo mengine, kilakitu kinamuda wake, kimziki IKBA muda wake umeisha msilazimishe.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Inashangza... wenzake wakati wako busy wana make money ye
akawa busy kuzalisha mabinti huko mitaani........, sa hivi ajifanye
The King is back kwa mtonyo gani(In bibi Bomba voice)
Wanaongea sana............ hizo T shirt zikitengenezwa Invisible anipige ban ya miezi 6
Other people were born to hate.......... eti anaringa PESA ZAKE katafuta kwa jasho lake
Inashangza... wenzake wakati wako busy wana make money ye
akawa busy kuzalisha mabinti huko mitaani........, sa hivi ajifanye
The King is back kwa mtonyo gani(In bibi Bomba voice)
Mpwa naona umeingia shift ya asubuhi maana hapa wafuasi wa domo wanakesha kuliko hata wahusika wakuu wa wa special thread hii.
Kama unadhani hapa tunapiga blah blah subiri nikutane na muhusika halafu ban ya miezi 6 ujipige mwenyewe.
Ila mimi ungesema Matola ukifanikisha deal la Tshirt nitakureward papuchi hapo ningekuona una confidence. Hebu badili hiyo betting to papuchi.
Mpwa nikupe Papuchi wakati una mchuchu wa ukwee JF...
Ungekua Single Boy ninge bet tofauti..,
Video ya mwana Darisalama anatoa lini????
huo mzigo ulikuwepo wakati Diamond anabeba
Mpwa naona umeingia shift ya asubuhi maana hapa wafuasi wa domo wanakesha kuliko hata wahusika wakuu wa wa special thread hii.
Kama unadhani hapa tunapiga blah blah subiri nikutane na muhusika halafu ban ya miezi 6 ujipige mwenyewe.
Ila mimi ungesema Matola ukifanikisha deal la Tshirt nitakureward papuchi hapo ningekuona una confidence. Hebu badili hiyo betting to papuchi.
Mpwa mambo ya msondo mwachie Gurumo, nami udenda unanitoka, au hujui kauli mbiu yetu SMZ? mapinduziii daimaaaaaaa!!
Kwa hiyo unataka kusema haujui kama Diamond ni msafiri mkubwa sana wa nje ya nchi, hata kavuka viwango vya Marehemu Kanumba?
Oupssssss Mpwa nani kakuruhusu kuweka picha yangu huku...........
Hilo swala la mapinduzi nakukaribisha Changa......, tulijadili lwa makini LOL
Mpwa mambo ya msondo mwachie Gurumo, nami udenda unanitoka, au hujui kauli mbiu yetu SMZ? mapinduziii daimaaaaaaa!!
Ewaaaaa, nimekusoma wakubwa hatunaga porojo nyingi.
Mwacheni huyo mzee Ali Kiba afanye mambo mengine, kilakitu kinamuda wake, kimziki IKBA muda wake umeisha msilazimishe.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Nihaoooooooooooo, hivi tunavyoongea Mkulu yupo Beijing kuipiga bei gesi yetuHawezi kumshinda Mkulu wa nchi...,
Kwa upande wangu mimi sina tatizo tangu jana natafuta namba ya Kiba sijapata na yeye bado hajarespond msg yangu kupitia facebook messenger.i trust U@Matola tshert please