hawa hata ukiwakuta na pete atakuambia kaikota akaamua avae au anavaa tu ili kupunguza usumbufu!!! huhuuuu kila mwanaume huwa hajaoa unless ulishuhudia au wamfahamu(they say so)

Kwa kweli katika hili alinishangaza sana!!Kwa kweli Kiba katika swala la kutumia fursa vizuri hayumo kabisa,inabidi abadilike aisee!!Y hakufanya collabo hata na twoface!!