Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,551
- 109,065
- Thread starter
-
- #3,461
ngoja waje team kiba
Hizi team wanaweza hata kupeana simu.
Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.
Why umchukie mtu ambae hata hakujui?
Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.
Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.
Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!
matumbo
Huu uzi hakuna asiyepitia hapa,wanapita kimyakimya lakini uzalendo ukiwashinda wanaropoka...heheheheerrrr ila kuna hao wawili wanaogopa balaa,mmoja ana like tu na mwingine anacomment mara moja.....uwiiiiiii chezea kiba fans wewe?
Niko hapa Jf nimejaa tele
Puliiiz hapa hatuna Team mtuache tupumuwe, hapa tupo Ally Kiba Fans kwa raha zetu na kwa bundle zetu.
BTW hongera kwa kupita hapa tumepata salam kama umerecharge bundle maana usipopita kwenye uzi huu wananchi wanaamini kabisa hauna bundle.
Free country kabla haujatushangaa sisi kawashangae kwanza wapenzi wa Regge kila mwaka wanafanya Tamasha la Bob Marley day na uwashangae zaidi mashabiki wa Manchester, Arsenal, Chelsea na Liverpool wamewahi gata kukanyaga Uingereza?
Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake
Muuza Sura ni mmoja ya watu waliowekwa mbali na ufalme wa Wasafi, stress zitamaliziwa wapi kama sio jf. umarioo ndio mpango uliobaki game zote zishakataa.
Mnafanya nin humu
Mbna s hatuingii kwenye thread ya ndomo
Mnafanya nin humu
Mbna s hatuingii kwenye thread ya ndomo
wana viranga hao km mkojo wa asbh
Teh teh tena zaidi ya kiranga
Acha kujikosha wewe!eti ulikua hujui....si ungeuliza Ally Kiba ni nani?
Kwanza usinipotezee muda,hakuna asiyemjua Kiba Tanzania hii chuki zitakutafuna hadi mifupa....pita hivi <<<<<<<< rudi ulikotoka.
Asante kumbe anajulikana Tanzania. Je ni mwanamitindo au?
Wewe mwanamke umetumwa nini?kwenye hii thread tunajadili nini kwa mfano?
Anyways,ni mwanamitindo pia na huu ndio mwisho wa kukujibu
Achana naye Huyo anajipya ukiendeleza naye malumbano kama anataka habari zake a Google kwanza katukana a mind business zake
Ilo jipapa kiboko yake Matola alishamjibu vizuri sana ila bado anawashwa!!Wewe mwanamke umetumwa nini?kwenye hii thread tunajadili nini kwa mfano?
Anyways,ni mwanamitindo pia na huu ndio mwisho wa kukujibu
Asante kumbe anajulikana Tanzania. Je ni mwanamitindo au?