Yani hawa mashabiki hamna kituuu ni zaidi ya mabox wamekuja kumzidishia popularity mfalme!!wengine wake za watu wamekazana kumpa kiki mfalme muda huu badala ya kuwapa waume zao haki zao kweli kiba ni nyokooo!!unawavuta watu kutoka pande zoteee wa rika mbalimbali na hulka mbali mbali mpaka wehu!
Ndo ushangae wanajizalilisha kabisa mtu kapata tuzo wamupongeze wanaleta huku kuvuka stage ni shiider eti kuringishia vitabia vya kistandard one cha kushangaza hadi wake za watu what a shame hawana mipaka jamani watuachie kiba wetu hafanyi mashindano yasiyo na kichwa kweli hawana amani watulize mishono yao
kweli leo nimeamini kiba anawapa watu vihoro jamani, hivi ni kwann kila alipo kiba watu moja haikai wala mbili haikai, alafu tz kuna wasanii wengi sn ila kiba haishi midomoni mwa watu, jiulize 'why' then utapata majibu
Ndo ushangae wanajizalilisha kabisa mtu kapata tuzo wamupongeze wanaleta huku kuvuka stage ni shiider eti kuringishia vitabia vya kistandard one cha kushangaza hadi wake za watu what a shame hawana mipaka jamani watuachie kiba wetu hafanyi mashindano yasiyo na kichwa kweli hawana amani watulize mishono yao
Yani kupata tuzo dai wamechanganyikiwa wanakimbilia kwa Kiba!!amewapa uchungu hadi wanataka kutaga mayai,mmewahi kumwona kuku anayetaka kutaga anavokua!?