Umemsoma mleta mada ukamwelewa? Mashabiki wa Kiba waliibuka from nowhere na kujifanya ni mashabiki wa UKAWA wakaanza kumshambulia Diamond kisa kaipigia kampeni CCM! Wanaofikiria kwa kutumia kichwa tangu hapo wakawaambia, mosi, msanii ana haki sawa na mtu wa kawaida na pili, mwanamuziki, biashara yake ni muziki kwahiyo hawezi kuacha mchongo wa siasa eti kisa tu yeye ana mashabiki! Wengine tukaenda mbali tukasema hata huyo Kiba wanayemsifia kv tu hakupanda jukwaani pale Jangwani wala hawana sababu ya kumsifia coz' kampeni ndo kwanza zimeanza.... Tuliyosema yote yametokea na ndo anachomaanisha
kedrick!
Wale wale baada ya kuona wamevuliwa hadi nguo ya ndani na huyo huyo Kiba waliyedhani ni mwana mabadiliko, hivi sasa wamebadili kibao... mara oh, Diamond kawatukana UKAWA, mara oh Kiba hana mapenzi na CCM ili mradi ni viroja! Walidhani Kiba angewasikiliza wao ambao hata nyimbo za mia mia pale Mkito hawanunui! In short, majority ni mamluki wa burudani na siasa!