Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

Kumjadili mbunge huyo Ally kessy ambaye ni darasa la Saba B .hajielewi hata kanuni za bunge kuzisoma zinampa shida ni wale wale wanafiki n wachumia tumbo ambao kila siku yeye ni hewala bwana.Amesahau yeye firigisu alizofanyiwa na hao hao ccm wakati akiwa NCCR .
 
Katika maneno yanayonipa shida kuyaelewa katika miaka ya hivi karibuni, ni uchochezi na matusi.. Naona yamepanuliwa wigo wa maana ya maneno haya siku hizi.. Ukisema kitu ambacho wakubwa hawakipendi wanakuambia ni uchochezi.. Ukisema mfalme yuko uchi (wakati ni kweli yuko uchi) wanakuambia umetukana..!
 
Back
Top Bottom