Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,286
- 4,753
Yes ni kweliYanga bingwa
Uhakikaaa...Yanga bingwa
Amesema Wasiotaka Yanga Kuchangia CCM Wahame TimuUhakikaaa...
Bilioni 10 na laki moja si mchezo
Kwanini laki moja lakiniπ€£π€£Uhakikaaa...
Bilioni 10 na laki moja si mchezo
Hilo ni tatizo la kinchi. Ukimchamba kiongozi wa sirikali, badala adili na wewe binafsi kwa kutumia vyanzo vyake binafsi, zitatumika rasilimali za nchi.Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?
Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?
Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the way mwambieni huyu mtoto Hersi hakwenda kugombea ubunge kama rais wa Yanga bali kama mwanachama wa CCM.
Au ndo yaleyale Yanga na CCM wote ni green and yellow. Nyuma mwiko bhana π€π€
Kama kweli amesema hivyo, basi atakuwa anakosea. Maana kuna watu wapo Yanga kabla yeye na hao viongozi wake hawajazaliwa! Na bado hawakuwahi kuichangia ccm kupitia kivuli cha timu.Amesema Wasiotaka Yanga Kuchangia CCM Wahame Timu
Oyaaa tuacheni basi mazee..hiyo bil 100000 itatusumbua sanaUhakikaaa...
Bilioni 10 na laki moja si mchezo
Inabidi tuishi humo kwa muda...ππOyaaa tuacheni basi mazee..hiyo bil 100000 itatusumbua sana
Yanga bingwaHivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?
Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?
Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the way mwambieni huyu mtoto Hersi hakwenda kugombea ubunge kama rais wa Yanga bali kama mwanachama wa CCM.
Au ndo yaleyale Yanga na CCM wote ni green and yellow. Nyuma mwiko bhana π€π€
Wamefanyaje?Mm ni yanga,ila hili la heri na huyu semaji wetu naona kichefu chefu ata kulifikiria
Muda wa kushuhudia mbumbumbu wakipokea kipigo cha 6 mfululizo unakaribiaInabidi tuishi humo kwa muda...ππ
Milioni 100 moya fcMuda wa kushuhudia mbumbumbu wakipokea kipigo cha 6 mfululizo unakaribia
Ndiyo kuimarisha ChamaMilioni 100 moya fc