Ali Kamwe ameoa lakini akili bado zero

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
283
Reaction score
804
Jumla ya wachezaji 30 wameitwa timu ya taifa na kila mmoja ametoa mchango wake kwa nafasi yake. Sasa mbona ghafla topic yote imegeuzwa Kagoma pekee? Kwanini isiwe Mzize au Feisali waliokuwa wachezaji bora wa mechi mbili?

Yaani mnashadadia Kagoma mpaka mnachapisha T-shirt na jezi – lengo ni kumpa presha ya mechi au mnataka akagonge sana apate kadi nyekundu ili matokeo yakiharibika lawama zimwangukie?

Acheni upuuzi. Kama mmeamua kuhamasisha, hamasisheni timu nzima siyo kuchagua mtu mmoja.
 
Wivu tu ...!

Kwa Sababu Kagoma aligoma Kusajiliwa Yanga...!

Ni Wivu tu ....!

Hamna kingine.!
 
Reactions: BRN
Binafsi sijaelewa kuna nini? Ufafanuzi please.
 
Aliekwambiaaaa

Ndoaa n PhD

Nani??

Oa uone

Utafuta huu uzi

πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
 
Sasa hapa kuoa kwa Ali Kamwe kumeingiaje aiseee? Labda ufafanue zaidi?
 
Ulichopost hakieleweki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…