Ali K.... Danganya haoo...haooooo

Mbona mtoa hoja na wachangiaji mliomsupport mnashindwa kutuambia mashairi gani ya R.K yaliyotafsiriwa na A.K?

R.Kelly '' When a woman looveesss...she...sheee loves for real"
Ali K....'' Mwanamke akipenda.... kaapendaa kweeeliii''
 
BOngo Kiboko, , eti Mwasity kaenda New York kuimba na yule mkongwe wa huko West Africa, ina maana huyo Mwasity hapendi ujiko na hawezi weka picha facebook yuko NYC? hahahah, Eti THJT wamekwenda South Africa , kuhojiwa na watangazaji wa TV ya USA kwnye kipindi cha Good Morning America, hahahahahaha, dah huu uongo jama, hapo bado Best Producer Lamar na nyimbo ya ke ya ku copy ya Mariah carey . Haki ya Nani THT mtratafunwa na Ruge mbaka Mkone, Jamani JK ,huoni hilo?
 
Bongo ni woote na sio mmoja hakuna anayetumia akili zake wote ni kudesa nilifuatilia miziki ya lady j d yote ka paste zile olds za zamani sana. kutunga mziki ni kazi kweli kweli inabidi utulie na uisome jamii. hapa wakitokea wenyewe kudai habaki mtu labda Juma Nature pake yake ndo atabaki maana lile chizi linatunga haliibi kwa nadhani halijua pa kuibia
juma kweli chizi na nyimbo zake.mkinaaa duusoo saga sagaaa..
 
Haiingii akilini kwa ma great thinkers kujadili personal issues kama hizi tena zisizo na madhara yoyote kwa jamii .
 
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee... wanawake hawapendi kweli ila hupenda pesa... tena ukome potosha jamiii.. Umenisoma Ali Kiba... HABARI NDIO HIYOOOO


we vipi?acha wivu...na wewe si utafsiri mashairi ya kiduku au
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom