Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

Shida SA makaratasi ya kazi wanabana.
SA kuna ujanja mwingi wa kuishi tofauti na Nchi nyingi wewe tumia refugee permit kama unataka kuajiliwa huku mkwaju ukiwa valid pia siku zikiisha kagonge border unapewa miezi mitatu kwa rand 500 permit kugonga bure ukitaka kutoka unaiacha permit unatumia pass kama unataka kusafiri nje ya Nchi kwenye makaratasi usiogope kufoji kesi mahakamani zinazikilizika na zinaisha...
 
Wakuu kwema humu ndani? wale diaspora wa nchi za kusini mwa Tanzania hasa Namibia, Botswana na South Africa nawasalimu saana na siishii kuwasalimu ila naombeni mtupe mawili matatu watanzania wenzenu tunaohitaji kuja humo.

Mimi kiukweli kesho kutwa nitakuwa huko Windhoek labda bahati iso njema kwangu itokee nisifike. Siji kutembea nakuja kutafuta. watanzania waliopo huko mtakuwepo tu humu ndani kwa nchi ya botswana Namibia na South Africa.

Vipi nchi gani inaunafuu kuizidi nyingine kifursa kwa kijana kuhangaika. Madili ya ngada msinipe sitaki hata kuyasikia. Ukimwi nao nimeambiwa upo sina ulevi wa wanawake nitajilinda.

Sasa wapi pana unafuu? Namibia?botswana au SA? tusibaniane wakuu tupeane nyeusi nyeupe.

1. Yellow card ninayo
2. Pass kubwa ipo

Kilichobaki ambacho mtanisaidia ni sababu ya safari nisije rudisha mpakani.asanteni.
Sasa kama hutaki wanawake mimi takusaidia Vipi wakati aliyenileta huku ni mwanamke!? Subiri waje
 
Sasa kaka refugee permit itakua Bado ni ngumu kidogo. Kwasababu Tanzania hatuna machafuko ya kuzidi mpaka tuonekane ni wakimbizi, so vyeti vya elimu ni vya bongo na passport pia ni ya bongo au unachukua refugee permit alafu unaenda kuomba kazi nje ya professional yako?
 
Nilimaanisha sitaki wa kuruka ruka nao mkuu.kama hizi sehemu nazoulizia wazijua nipe mawili matatu mku kesho naanza safari ikiwezekana nisielekee windhoek tena.
 
Sasa kaka refugee permit itakua Bado ni ngumu kidogo. Kwasababu Tanzania hatuna machafuko ya kuzidi mpaka tuonekane ni wakimbizi, so vyeti vya elimu ni vya bongo na passport pia ni ya bongo au unachukua refugee permit alafu unaenda kuomba kazi nje ya professional yako?
Mkuu Mimi nilifanya kazi kwa Refugee permit kwa vyeti vya Tanzania na nilisoma tena hapo hayo mambo ya refugee permit tunapata kuwa mkimbizi sababu zipo nyingi tuu...sema sasa hivi unaweza ukapata working permit ubalozi wao Tanzania ila unalipa hela ya kutosha tuu maana ukiipata kazi unapata...nenda ubalozini kwao Masaki utapata zaidi Mkuu sisi tulikua tunalazimisha sana muda mwingine unatengeneza mpaka mkwaju wa SA ili ukapate kazi na iliwezekana ingawaje sasa hivi ni ngumu kidogo na ID unapewa unaenda kuomba kwa wazungu huko Wooster,Cape Town wametoa sana ID na Leseni zao...
 
Mkuu Isanga mambo yakikataa huko nitakuja SA.nadhani sio mbali mbali.
 
Mkuu Mimi nilifanya kazi kwa Refugee permit kwa vyeti vya Tanzania na nilisoma tena hapo hayo mambo ya refugee permit tunapata kuwa mkimbizi sababu zipo nyingi tuu...sema sasa hivi unaweza ukapata working permit ubalozi wao Tanzania ila unalipa hela ya kutosha tuu maana ukiipata kazi unapata...nenda ubalozini kwao Masaki utapata zaidi Mkuu sisi tulikua tunalazimisha sana muda mwingine unatengeneza mpaka mkwaju wa SA ili ukapate kazi na iliwezekana ingawaje sasa hivi ni ngumu kidogo na ID unapewa unaenda kuomba kwa wazungu huko Wooster,Cape Town wametoa sana ID na Leseni zao...
Mkuu Isanga shukrani kwa madini[emoji122]
 
Ok mkuu, mimi mara kwa mara huwa nafuatilia qualifications za critical skills work visa kwenye official website ya DHA fani yangu ipo kwenye list ( electrical engineering) kwasasa bado nipo shule ila nategemea kumaliza august mwaka huu 2018. Sasa katika vigezo wanavyovihitaji ni lazima uwe na work experience miaka 2. Kwa upande wangu nilishawai kufanya kazi kwa muda wa mwaka 1 nilipomaliza diploma ya electrical eng nikapata kazi kwenye telecom company 2014 dec-2015 nov. 2015 nikarudi kusoma bachelor ya electrical eng nikaona magumashi shule ikawa ngumu nikakata passport.So uwezo wa kutembea nilikua nao kitambo coz nilitaka ni quit college nitembee 2016 mapema nikajaribu kuwa PM watu wengi humu ww Isanga Family ulikua mmoja wao, ukanipa ushauri mzuri tu ila wengi walinikataza nimalize shule kwanza kweli mungu sio asumani shule inakaribia kuisha bado semester moja imebaki. Lakini kwa muda wote nimekua nikifuatilia kwa ukaribu work visa zote za SA na nikaona Critical Skills Work Permit ndio itakayonifaa. Nikajaribu kuwasiliana na ma agent wa immigration to south africa (intergate) wakaniambia lazima niwe na work experience ya miaka miwili then niwatafute kwani wataweza kuvipeleka vyeti vyagu South African Qualification Authority SAQA kwa ajili ya kuvihakiki then wataniunganisha na Professional body moja ya umeme ya huko SA then baada ya hapo nitakuwa eligible ku apply Critical Skills Work Permit pale Department of Home Affairs (DHA). So plani zangu ilikuwa nikufanya kazi bongo kwa muda wa miaka miwili then ndio nianze hizo process but ninaswali moja ambalo linaniumiza kichwa miaka miwili ni mingi na maisha huwa yana change nahisi japokuwa sina uhakika mawazo yanaweza yakabadilika so nikimaliza shule naona ni bora nitafute nauli na fedha ya kuanzia maisha mambo mengine yatasomeka ndani ya SA.
 
Moxes safi sana kwa jitihada ulizofanya kwa Fani ya umeme utapata kazi SA ila Fanya upate work permit utapata kazi De beers Marine, Globe kwa makampuni wanayotengeneza oil lig au Meli Cape Town ujitahidi kwa muda wowote au kiasi ukiambiwa ulipie lipa... kule unalipwa kwa Massa na over time ya malipo ya usiku ni hela nzuri Mara ya kwanza tuu zinazofatia Kampuni unayofanyia kazi ndio watatumia Wanasheria wao kupata...Mwanzo ni mgumu lakini utafanikisha tuu ukiwa na nia...
 
Sasa kama hutaki wanawake mimi takusaidia Vipi wakati aliyenileta huku ni mwanamke!? Subiri waje
Mkuu pamoja na kwamba Mwanamke kakupeleka North East ila fanya Fanya sana usimame mwenyewe na ufanye mambo yako ili maisha yasonge wanawake kwa kaburu wengi tabia zao zinafanana wamelostishwa watu wengi sana...
 
Thanks!
Mkuu Mimi nilifanya kazi kwa Refugee permit kwa vyeti vya Tanzania na nilisoma tena hapo hayo mambo ya refugee permit tunapata kuwa mkimbizi sababu zipo nyingi tuu...sema sasa hivi unaweza ukapata working permit ubalozi wao Tanzania ila unalipa hela ya kutosha tuu maana ukiipata kazi unapata...nenda ubalozini kwao Masaki utapata zaidi Mkuu sisi tulikua tunalazimisha sana muda mwingine unatengeneza mpaka mkwaju wa SA ili ukapate kazi na iliwezekana ingawaje sasa hivi ni ngumu kidogo na ID unapewa unaenda kuomba kwa wazungu huko Wooster,Cape Town wametoa sana ID na Leseni zao...
 
Tupe update mkuu
Wakuu kwema humu ndani? wale diaspora wa nchi za kusini mwa Tanzania hasa Namibia, Botswana na South Africa nawasalimu saana na siishii kuwasalimu ila naombeni mtupe mawili matatu watanzania wenzenu tunaohitaji kuja humo.

Mimi kiukweli kesho kutwa nitakuwa huko Windhoek labda bahati iso njema kwangu itokee nisifike. Siji kutembea nakuja kutafuta. watanzania waliopo huko mtakuwepo tu humu ndani kwa nchi ya botswana Namibia na South Africa.

Vipi nchi gani inaunafuu kuizidi nyingine kifursa kwa kijana kuhangaika. Madili ya ngada msinipe sitaki hata kuyasikia. Ukimwi nao nimeambiwa upo sina ulevi wa wanawake nitajilinda.

Sasa wapi pana unafuu? Namibia?botswana au SA? tusibaniane wakuu tupeane nyeusi nyeupe.

1. Yellow card ninayo
2. Pass kubwa ipo

Kilichobaki ambacho mtanisaidia ni sababu ya safari nisije rudisha mpakani.asanteni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom