Emma Simbo
Member
- Jan 28, 2018
- 44
- 15
Wakuu kwema humu ndani? wale diaspora wa nchi za kusini mwa Tanzania hasa Namibia, Botswana na South Africa nawasalimu saana na siishii kuwasalimu ila naombeni mtupe mawili matatu watanzania wenzenu tunaohitaji kuja humo.
Mimi kiukweli kesho kutwa nitakuwa huko Windhoek labda bahati iso njema kwangu itokee nisifike. Siji kutembea nakuja kutafuta. watanzania waliopo huko mtakuwepo tu humu ndani kwa nchi ya botswana Namibia na South Africa.
Vipi nchi gani inaunafuu kuizidi nyingine kifursa kwa kijana kuhangaika. Madili ya ngada msinipe sitaki hata kuyasikia. Ukimwi nao nimeambiwa upo sina ulevi wa wanawake nitajilinda.
Sasa wapi pana unafuu? Namibia?botswana au SA? tusibaniane wakuu tupeane nyeusi nyeupe.
1. Yellow card ninayo
2. Pass kubwa ipo
Kilichobaki ambacho mtanisaidia ni sababu ya safari nisije rudisha mpakani.asanteni.