Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #101 siamini! pamoja na kuzidiwa kote, na upendeleo wa referee, lakini dk ya 85 bado ni moja kwa moja.
Njaa JF-Expert Member Joined Dec 6, 2009 Posts 1,022 Reaction score 412 Sep 4, 2010 #102 matambo said: Tanzania haijapiga kona yoyote hadi sasa dakika ya 80 watangazaji wanatoa wasifu wa ngassa kuwa anchezea azm ila alikuwa yanga, mji mkuu wetu ni dodoma na ndo kunapatikana mlima kilimanjaro asanteni kwa kutuendelezea utalii Click to expand... Mkuu wewe unatumia link gani hiyo ya kiingereza, au huko TBC1 wanatumia english??
matambo said: Tanzania haijapiga kona yoyote hadi sasa dakika ya 80 watangazaji wanatoa wasifu wa ngassa kuwa anchezea azm ila alikuwa yanga, mji mkuu wetu ni dodoma na ndo kunapatikana mlima kilimanjaro asanteni kwa kutuendelezea utalii Click to expand... Mkuu wewe unatumia link gani hiyo ya kiingereza, au huko TBC1 wanatumia english??
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Sep 4, 2010 #103 Lukolo said: hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea Click to expand... mi nahisi ni mwenda wazimu huyu
Lukolo said: hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea Click to expand... mi nahisi ni mwenda wazimu huyu
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #104 Lukolo said: Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga Click to expand... Hata mechi yenyewe nikubwa...yaani mpaka hapo nashukru mungu kwamba mpaka sasa TZ 1 ALG 1 na wako kwao...
Lukolo said: Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga Click to expand... Hata mechi yenyewe nikubwa...yaani mpaka hapo nashukru mungu kwamba mpaka sasa TZ 1 ALG 1 na wako kwao...
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #105 naona refa analazimisha goli kwa tanzania
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #106 Pongezi zangu za awali kwa kipa dakika 88 hapa starz wanalinda lango ila Algeria hawana timu nzuri..wakija kwetu nasi tutaweka fitina zote kamati za ufundi za simba,mtibwa na yanga zitafanya kazi kwa kushirikiana na wazee wa zenj
Pongezi zangu za awali kwa kipa dakika 88 hapa starz wanalinda lango ila Algeria hawana timu nzuri..wakija kwetu nasi tutaweka fitina zote kamati za ufundi za simba,mtibwa na yanga zitafanya kazi kwa kushirikiana na wazee wa zenj
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Sep 4, 2010 #107 CCM ya Nyerere sasa imezeeka! hahaaaa haaaaaaa uwiiiii ni sehemu ya mpira jamani
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #108 Duh, mtz kala kadi ya njano
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #109 hizi kona zinaweza kuwa noma dk za mwisho hizi
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #110 hii ni hatari sana...
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #111 dah hatari hapa waarabu wanapata free kick 21.2 m
M matambo JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 727 Reaction score 118 Sep 4, 2010 #112 Nahisi moyo unataka kutoka wameongezaz dakika 5
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #113 aaha refa anasema irudiwe mpaka goli liingie
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #114 yaani huyu refa kwetu anagawa kadi kama hana hakili vile...
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #115 Timu nzima ya bongo iliweka ukuta pale ooops tunapuma nw tupo kwenye extra time
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #116 5" zimeongezwa......Mungu ibariki Tanzania
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,197 Reaction score 18,227 Sep 4, 2010 #117 heheheeee.. warabu wanajiangusha kama mtu wangu pale jangwani!!!
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #118 BADO DAKIKA MOKO.... starz wamekaza naniii jamaa wanapata tena free kick ya pembeni inaokolewa hapa nakuwa kona dah daha
BADO DAKIKA MOKO.... starz wamekaza naniii jamaa wanapata tena free kick ya pembeni inaokolewa hapa nakuwa kona dah daha
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #119 Mamaaaaa!!! Mungu yupo upande wetu!! Hatimaye droo hiyooooo
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Sep 4, 2010 #120 refa anawatafutia waarabu sasa